Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Doffi za wa kishua
Sisi tunafulia majani ya katani.
Doffi za wa kishua
Ni kujitafutia maradhi ya moyoPasua kichwa
Yah nadhan pia ni majiPole sana
Kunywa maji mengi,
Mungu akuponye.
Unajidanganya tu mkuuNi kujitafutia maradhi ya moyo
Unarangi nzuri sana aise..
😂😂😂😂
Ndo zingetakata vileDoffi za wa kishua
Sisi tunafulia majani ya katani.
📌📌Ni kujitafutia maradhi ya moyo
Camera mkuu nayotumia ni nzur tu
Namaanisha anayevutia..handsome kwa kiswahili sijui ni ninii
Nipe location nije kukuungisha handsome wetu.
Ah wapi
Sabab haujanizoea tu mkuuUnarangi nzuri sana aise..
Moyo wangu umepiga paa
Tena ww nakuuzia na vibamaNipe location nije kukuungisha handsome wetu.
unavijuaTuvione🤗
Vya wap mm nipo ulipo mkuu npo tokyoTuvione
Vya huko vinafananaje

Unajua nipo wapi?
Nipo tukuyu uku kwa kina mwafilombeUnajua nipo wapi?
Nionyeshe kwanza![]()






Upo nyumbani kwetu...wanasemaje Tukuyu?
Cha msingi ujipatie namna ya kuvaa basiiNajikubali na number 9 hii
Kiukweli umbo ni umbo haijalishi ukoje .