T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,486
ChakoriiKabisa yani.cha msingi kujikubali
ChakoriiKabisa yani.cha msingi kujikubali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nalijua hilo sana tu cha ubishi wangu
Mr handsome
Niite spidernyoka tu alaf picha sijapiga mkuuMr handsome
Hopefully umepiga picha tayari
Abee wa kienyeji
Mshukuru MunguHapana aisee .
Mimi shape number 9
HahaaaHi Binti Abiud. Shusha vitu mpendwa katika Kristu [emoji1545]
Najikubali na number 9 hiiMshukuru Mungu
Unaijua no 9 ww,jmn jmn
Uongo shem darling..Kwani nasema uongo ndugu yangu
Ntakuita mkuu au chief
Spider jmnNtakuita mkuu au chief
Hilo jina lako gumu.
Linatisha[emoji19]
Hilo spider linaharibu
Usiumwe sasa daddy na wewe..bintiyo ataumwa mara buku ujue[emoji2][emoji2]
Nafurahi kusikia hujambo SYB.
Maisha yanamfanya binti kupotea kiaina.
Mungu ni mwema kabisa kila kitu vizuri kabisa…namshukuru.
Easter inakaribia daddy..ni nini umetuandalia wanao
Sema mkurugenzi. Kukoje huko? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Ntakuita mkuu au chief
Hilo jina lako gumu.
Habari za siku mkuu wangu wa kienyejiAbee wa kienyeji