Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutajie wenzio hata PM unatutesa ni nani kuanza kutafuta CO kirefu chake jamani[emoji23][emoji23][emoji23] sema ana ujasiri sio wa kitoto ila wewe ni mwehu nilikua nasoma comments zako usiku mbavu sina
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] Co.... on.

Aaaaah watu wanauliza maswali kutaka kujua, muhusika hajibu mie nkawa namsaidia vile. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nkamu acha kudeka ungevumilia jamani basi usiwe unapaka mafuta ila huo ujoto joto ndo unalainisha miguu
Mwee[emoji3064]
Kuvaa viatu nimeweza.
Yaani sikayagi chini peku na mguu wangu ila kimbembe soksi[emoji134]
Ngoja Leo nijikaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…