Hivi kwani sisi tuliwatuma hao Geita washike mpira kama netiball?
Au walidhani mechi imekuwa ya netiboli eeh??au basketball
Halafu kwani ni sisi tumempa kengeza yule kaka akose penalt?
Kwanini amoengeshee kipa lakini?







nimecheka mnooo, aaah wapi wee Refa kawabeba tyuuuh, afu kujisafisha kampa coacher wenu kadi nyekundu, hahahah






🤣🤣 katibu sijui utatoa ripot ipi!!!🤭🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗🤗Rudia picha
Nitaambia nini
Wana selfika
City tumewahurumia tunimecheka mnooo, aaah wapi wee Refa kawabeba tyuuuh, afu kujisafisha kampa coacher wenu kadi nyekundu, hahahah
Kule kwa penalt nawalaumu GGM hawakua serious, tangu kipa wenu alivyokosa. Ilibidi wampe mahadhi ile angefunga, wakampa kinda kid kawaangusha, zilizofuata n uharo tyuuu.![]()

Nimeikosa hii
poleImajinikatibu sijui utatoa ripot ipi!!!
![]()
Kwann ulikata jmnNazikumbuka ila soon naanza kusuka tenaView attachment 2183123
Kwa city hapo, kule kwenu ilikuaje?City tumewahurumia tu
Halafu hivi mnajitambua kweli?
Mnatoa draw nyumbani
Wolves anawachapa ndio tunashinda hivyo



Muonee huruma katibu walau apate cha kuandika hata kidogo tu;Na atakoma sirudii tena.![]()
Endelea kuota mdogo etuKwa city hapo, kule kwenu ilikuaje?
Match zilizobakia ni kubonda tyuui, afu tukutane UCL tutawapiga na kuingia final, kombe tunachukua. EPL na UCL ni yetu.
Visakramenti?!!
Weka akiba ya manenoKwa city hapo, kule kwenu ilikuaje?
Match zilizobakia ni kubonda tyuui, afu tukutane UCL tutawapiga na kuingia final, kombe tunachukua. EPL na UCL ni yetu.
Imeisha hiyoooo.Muonee huruma katibu walau apate cha kuandika hata kidogo tu;
Tutaulizana lakini, kikubwa tusikimbiane tyuuu.Endelea kuota mdogo etu




