Na zilikaa, kaz yangu ilikua kupaka tu mafuta basi na kuziweka sawa.Kweli zinapendeza balaaa
Huwazi kusuka wala tena unaweza kukaa nazo hata miezi mitatu.
Huo ndo ubaya wake huo .. nikija kunyoa tu ah naweka siwezi baki kipara .
NzuriCrotchet ya Rasta ipo kama hivi Strawbella View attachment 2180753
kabisa kama saluni aandae hata lakiSaluni kubwa kubwa watampiga hadi laki
[emoji120][emoji120][emoji120]Amen nawe pia mpendwa
Na anaweza asisukwe vizuri [emoji19]kabisa kama saluni aandae hata laki
Blacka beautyNa zilikaa, kaz yangu ilikua kupaka tu mafuta basi na kuziweka sawa.
Yaani ni nzuri, nishazimiss. Mwenyew hizi zikinichosha sitaweka dawa had nywele za dawa ziishe ibaki natural niweke curl tena
View attachment 2180763
Wacha wee [emoji91]Si kila siku natuma picha humu!View attachment 2180769
Na zilikaa, kaz yangu ilikua kupaka tu mafuta basi na kuziweka sawa.
Yaani ni nzuri, nishazimiss. Mwenyew hizi zikinichosha sitaweka dawa had nywele za dawa ziishe ibaki natural niweke curl tena
View attachment 2180763
Usiweke dawa, nywele yako nzuri.Blacka beauty
Yaani nashukuruni mmeniokoa.
Nilitaka nitie dawa kesho
AsanteUsiweke dawa, nywele yako nzuri.
Weka curl utapendeza sana na zitakua laini kama umeweka dawa
Yeah unapendeza ukisuka sema issue ipo kwenye kuzimaintain inabidi uwe na hair stylist akuchane la sivyo unafumua week tu .Nzuri
Asante dearZilikupendeza kwa kweli
Sio ukae kwenye kioo unachana style hii mara ile haikai ..kuchana tu nywele unatumia 30 minutes .
Weka mwaya upendeze , relaxed hair huwa zinachosha muda mwingine .
Kuna saluni ipo karibu na Mabibo hostel wanafanya hizo mambo ngoja niichek nikiipata nakutumiaAsante
Ntaweka.
Kazi iliyobaki ni kutafuta saluni sasa yenye hizo huduma
😁😁Asante dear
Hapo bado kila ukichana chanuo linatoka na nywele😂
Zinachosha, uzuri pia saiv kuna style nying za short hair za kisasa so hata ukinyoa bado utakua msupu tu
AbeeeNa zilikaa, kaz yangu ilikua kupaka tu mafuta basi na kuziweka sawa.
Yaani ni nzuri, nishazimiss. Mwenyew hizi zikinichosha sitaweka dawa had nywele za dawa ziishe ibaki natural niweke curl tena
Na mimi misivyojua kuchanaYeah unapendeza ukisuka sema issue ipo kwenye kuzimaintain inabidi uwe na hair stylist akuchane la sivyo unafumua week tu .
Za weekend?
Asante dear
Hapo bado kila ukichana chanuo linatoka na nywele[emoji23]
Zinachosha, uzuri pia saiv kuna style nying za short hair za kisasa so hata ukinyoa bado utakua msupu tu
Asante[emoji3059]Kuna saluni ipo karibu na Mabibo hostel wanafanya hizo mambo ngoja niichek nikiipata nakutumia