Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 8, 2022 #177,261 sophy27 said: Yaan acha tu Click to expand... Huwa wana midomo hao Huku mtaani saluni zishanishinda aisee mara nyingi nahama ili kkukwepa maneno .
sophy27 said: Yaan acha tu Click to expand... Huwa wana midomo hao Huku mtaani saluni zishanishinda aisee mara nyingi nahama ili kkukwepa maneno .
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 8, 2022 #177,262 Strawbella said: Zikikatika lazima uwe serious dear, bila hivyo ni kipara kwa kwenda mbele Click to expand... Mimi zilipokatika nikanyoa mazima
Strawbella said: Zikikatika lazima uwe serious dear, bila hivyo ni kipara kwa kwenda mbele Click to expand... Mimi zilipokatika nikanyoa mazima
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 8, 2022 #177,263 Saint Anne said: Jichanganye tu unachangia hivyohivyo kama mimi tu Click to expand... Mana hata majina ya dawa nmesahau nina miaka 4 nakata nywele
Saint Anne said: Jichanganye tu unachangia hivyohivyo kama mimi tu Click to expand... Mana hata majina ya dawa nmesahau nina miaka 4 nakata nywele
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Apr 8, 2022 #177,264 Wanaume mtusamehe tumevamia Uzi,tumewatenga Sshv tutarudi kwenye kuselfika
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 8, 2022 #177,265 Nuzulati said: Mafuta ya nazi ni mazuri mno kwa nywele Click to expand... Kumbe eeh? Hata hivi sisuki kwahiyo napakaga tu yoyote
Nuzulati said: Mafuta ya nazi ni mazuri mno kwa nywele Click to expand... Kumbe eeh? Hata hivi sisuki kwahiyo napakaga tu yoyote
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 8, 2022 #177,266 Saint Anne said: Yale ya mnyonyo heri waninyonge kuliko kuyapaka. BTW hata sisuki siku hizi. Nataka niweke dawa nipatr urahisi wa kuchana maana mywele kama miti..zinavunja tu vichanio Click to expand... Kwa nini hupendi ya mnyonyo ... Watu walijua kuyasifia jamani . Weka curly najua utapendeza na ni nzuri kuliko dawa .
Saint Anne said: Yale ya mnyonyo heri waninyonge kuliko kuyapaka. BTW hata sisuki siku hizi. Nataka niweke dawa nipatr urahisi wa kuchana maana mywele kama miti..zinavunja tu vichanio Click to expand... Kwa nini hupendi ya mnyonyo ... Watu walijua kuyasifia jamani . Weka curly najua utapendeza na ni nzuri kuliko dawa .
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Apr 8, 2022 #177,267 Kelsea said: Leo wenye vipara tumegeuka wasomaji Click to expand... polee
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 8, 2022 #177,268 Kelsea said: Mana hata majina ya dawa nmesahau nina miaka 4 nakata nywele Click to expand... Tupia sasa style mpya nidese
Kelsea said: Mana hata majina ya dawa nmesahau nina miaka 4 nakata nywele Click to expand... Tupia sasa style mpya nidese
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 8, 2022 #177,269 Kelsea said: Leo wenye vipara tumegeuka wasomaji Click to expand... Mna style zenu na nyie Hakika mnapendeza
Kelsea said: Leo wenye vipara tumegeuka wasomaji Click to expand... Mna style zenu na nyie Hakika mnapendeza
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 8, 2022 #177,270 Strawbella said: Wacongo wanapenda kutumia tong sana,ila wanajua sana kutengeneza nywele...jicho zuri Click to expand... Ooh thank you Sorry tong ni nini ? Wanajua kweli huwa napenda huduma za wakaka zaidi .
Strawbella said: Wacongo wanapenda kutumia tong sana,ila wanajua sana kutengeneza nywele...jicho zuri Click to expand... Ooh thank you Sorry tong ni nini ? Wanajua kweli huwa napenda huduma za wakaka zaidi .
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 8, 2022 #177,271 Kunguru wa Manzese said: Daah nimefunga mkuu Click to expand... 😀😀😀😀 mda wa kufuturu umefika
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 8, 2022 #177,272 Tinsley said: Kwa nini hupendi ya mnyonyo ... Watu walijua kuyasifia jamani . Weka curly najua utapendeza na ni nzuri kuliko dawa . Click to expand... Wayasifie tu aiseee Ile harufu yake inanichefua kiasi kwamba hata mtu ninayemsuka akipaka inabidi nivae barakoa. Curly ndio ipi hiyo?? Kwa kweli itabidi nizilainishe..hapa najishika kichwani nawaza kuchana namna zinauma
Tinsley said: Kwa nini hupendi ya mnyonyo ... Watu walijua kuyasifia jamani . Weka curly najua utapendeza na ni nzuri kuliko dawa . Click to expand... Wayasifie tu aiseee Ile harufu yake inanichefua kiasi kwamba hata mtu ninayemsuka akipaka inabidi nivae barakoa. Curly ndio ipi hiyo?? Kwa kweli itabidi nizilainishe..hapa najishika kichwani nawaza kuchana namna zinauma
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 8, 2022 #177,273 Saint Anne said: Tupia sasa style mpya nidese Click to expand... Nina low cut moja hatar karibu na kipara kabisa
Saint Anne said: Tupia sasa style mpya nidese Click to expand... Nina low cut moja hatar karibu na kipara kabisa
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 8, 2022 #177,274 Kelsea said: Leo wenye vipara tumegeuka wasomaji Click to expand... 😂😂😂Napinga hii
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 19,994 Reaction score 48,499 Apr 8, 2022 #177,275 Saint Anne said: Ndo hayohayo napata kuanzia kichwani hadi miguuni Click to expand... Yani mm na wew damu damu mama Junia sema nilipata changamoto ya ngozi mwaka Jana baada ya kuja mkoani ndo nikatumia lotion elf 20 roho iliniuma mno utasema nilitoa laki
Saint Anne said: Ndo hayohayo napata kuanzia kichwani hadi miguuni Click to expand... Yani mm na wew damu damu mama Junia sema nilipata changamoto ya ngozi mwaka Jana baada ya kuja mkoani ndo nikatumia lotion elf 20 roho iliniuma mno utasema nilitoa laki
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 8, 2022 #177,276 Saint Anne said: Joto Click to expand... Unatafuta style amabazo hazisumbui Usiku unalalia kofia yako ya satin
Saint Anne said: Joto Click to expand... Unatafuta style amabazo hazisumbui Usiku unalalia kofia yako ya satin
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 8, 2022 #177,277 Christine1 said: Wanaume mtusamehe tumevamia Uzi,tumewatenga Sshv tutarudi kwenye kuselfika Click to expand... Wawachukulie wake zao madesa
Christine1 said: Wanaume mtusamehe tumevamia Uzi,tumewatenga Sshv tutarudi kwenye kuselfika Click to expand... Wawachukulie wake zao madesa
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 8, 2022 #177,278 Tinsley said: Mna style zenu na nyie Hakika mnapendeza Click to expand... Mie asa hiv nna upara yan nilipaka dawa zilikatika zote zilinikwaza nikazitoa naanza upya.
Tinsley said: Mna style zenu na nyie Hakika mnapendeza Click to expand... Mie asa hiv nna upara yan nilipaka dawa zilikatika zote zilinikwaza nikazitoa naanza upya.
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Apr 8, 2022 #177,279 Christine1 said: Unaweka dawa? Click to expand... Hapana sijaweka mda nadhani kwa kuwa mda mwingi nakuwa na zifunika
Christine1 said: Unaweka dawa? Click to expand... Hapana sijaweka mda nadhani kwa kuwa mda mwingi nakuwa na zifunika
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 8, 2022 #177,280 Nuzulati said: Napinga hii Click to expand... Kwa nn