Kiasi dear sema ni vizuri kushare unachofahamu
Ni kweli zinakua hazipendezi ushauri ukiona zimeota na muda bado wa kutosha kuretouch tafuta fundi mzuri wa nywele za mkono kunastyle nying unatafuta vibanio vyako vzuri kadhaa unatoka hivo ukienda kazini unapendeza tu
Pia kunastyle nying nzuri sasa hiv za natural hair fanya hivo ukiwa unavuta muda
Ooh ni jambo jema unafanya
Mie zangu hazijawahi kuwa hivyo ila huwa nalazimisha weh siku ziende .. halafu wengine hatujazoea vilemba ndo mtihani kabisa .
Huko nikienda kusuka kwa wasusi wanalalamika kuwa nywele imeotea hii weka dawa ...naona nibaki nazo tu nyumbani .
Sema mafuta mazuri kwa nywele ni ya nyonyo wanaitaga Castrol lakn mazuri ni Yale kwenye maduka ya dawa za asili hayazidi elfu tatu yanakuwa yako pure unaweza changanya na olive oil ni the best kwa wenye nywele chache pia kukatika kwa nywele
Umeonaa hiii.. siku ya kwanza nimekutana nayoo kidogo nife kwa shock moyonii.. pisi imejitolesheza kupita kiasi.. hii ipo mahala mtu chakeView attachment 2180699