Selfika na JF: Snap it. Show it

Tulia kwa Mungu haya mengine achana nayo!...hiyo ngoma "UTU" ni balaa[emoji4]
Nilikuwa narap zamani aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kaka zangu niliofuatana nao walikuwa wanaweka hizi ngoma acha kabisaπŸ™Œ.

Nimetulia na za kuabudu sasa hivi..
Hizi nyingine mara moja moja siyo mbaya..km leo nilitumiwa huo wa Alikiba..Jamaa ni fundi sana aisee.
 
Unarap we noma[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…