Mimi naijua hiphop ya zamani tu mkuu
Siyo hizi za sasa za kina chemical.
Ninaowakubali ni wengi
Wa kwanza ndio huyo Prof J..
Kuna Albert Mangwea mzee wa Free style na kundi Lake lile la Chemba squad,
Mtaalam Fid Q,
Nako2Nako
Afande sele,
Geez Mabovu,
Langa,
Daz nundaz
Jay Mo
GK
Yaani wapo wengi siwezi kuwamaliza