Nakumbuka tumeanza form five hapo tukipanda kwa gari na matshirt yetu .. makonda wanatusema wanafunzi wa Tambaza wabishi sana hawa ..hadi hatupandishwi bus .