Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
kweli tena shangazi!![]()
Dhambi ujue...
kweli tena shangazi!![]()
Hizi ndio changamoto za technologyNi tatizo kila mahali. Huwa naangalia kipindi cha Air Disasters. Ajali nyingi tu zinasababishwa na marubani kutegemea sana automation. Kukiwa na dharura ya kweli au hiyo automated system ikikorofisha wanakuwa hawajui la kufanya.
Junia ni hatari ye anazingua yeyote aliyeoko mbele yake hachaguiMweee
Wewe na Junia hamna tofauti

Halafu nilikokuwa naenda kuna mchongo wa hela aisee. Sasa nikizikosa hizo hela sababu ya huu mtandio lawama zote nitakubebesha wewe. Ila kuondoka siondoki mpaka nione mtandio mimi.Msukuma msukuma!!![]()
Nilidhani ni macho yangu tu...Anatufanya hatuna macho![]()

Sugu tena!🤣 full ubabeKa rap kibabe sana![]()
Consistently picha zako kwangu huwa hazionekani kwenye app. Ni mpaka niende kwenye browser...ambayo nayo siipendi...
unakuta jitu lina bonge ya kitambi nazungumzia wanaume sio ke.. huwa nacheka sanaa unalikuta juu ya meza



Wuuu vi4 vyote hivyo?Kahawa inaongeza. maisha kuwa.marefu.
nikifika nacha vikombe kama vinne ndio naenda kula mwili 😀😀
Leo hata mimi nimepigwa na butwaa kwa kweli. Boss Lady na Uswahili? Kwa kweli hapana!Na tushazoea boss ledi hana uswahili
Sijui anakwama wapi![]()
Browser imenishindagaConsistently picha zako kwangu huwa hazionekani kwenye app. Ni mpaka niende kwenye browser...ambayo nayo siipendi...
ila amapiano inawapendeza wenye miili mikubwaaa... singeli na wasio na miili..
![]()



Na Mimi nitamlaumu sanaHalafu nilikokuwa naenda kuna mchongo wa hela aisee. Sasa nikizikosa hizo hela sababu ya huu mtandio lawama zote nitakubebesha wewe. Ila kuondoka siondoki mpaka nione mtandio mimi.
Saint Anne au nakosea dadangu?

JF itabidi waje walifanyie kazi hili.. kuna vitu wanao tumia app wanakosa na wanao tumia browser pia wanakosaConsistently picha zako kwangu huwa hazionekani kwenye app. Ni mpaka niende kwenye browser...ambayo nayo siipendi...
Nilidhani ni macho yangu tu...
Hakika nishafuturu kabla ya mda![]()
![]()

mkaskazini mwenzangu..