Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,403
- 12,019
That's niceTabasamuni na madam kwanza!View attachment 2179440

That's niceTabasamuni na madam kwanza!View attachment 2179440

! Sina uswahili mie msukuma!!! Sema Mtandio noma kidogo!!Leo hata mimi nimepigwa na butwaa kwa kweli. Boss Lady na Uswahili? Kwa kweli hapana!
kuulaza mwili tuu 😄😄😄Wuuu vi4 vyote hivyo?
Af nifafanulie hapo kula mwili ndio vipi
An African woman!Tabasamuni na madam kwanza!View attachment 2179440



Yuko vizuriiiii😍Umeiona hiyo big hapo ilivyo pendezesha 😀😀😀
Shimba Ya Buyenze
Strawbella
Lenie
View attachment 2179439
Na mwili wakeee mkuuubwa kama pipaaaKama hataki vile![]()
Noma yake nini sasa??
! Sina uswahili mie msukuma!!! Sema Mtandio noma kidogo!!
Oooho!wa nyumbani?Pole sana,sasa ukatubumkaskazini mwenzangu..
Na yanapendezea balaa🤣🤣😀😀😀 unakuta jitu lina bonge ya kitambi nazungumzia wanaume sio ke.. huwa nacheka sanaa unalikuta juu ya meza
Sugu tena!full ubabe
Kuna nyingine mpya mpya nayo amerap kiubabe balaa, nimeisahau tu jina
huwa hadi rahaa.. naenda mida mibovu kutazamaga wacheza amapiano.. sasa ma dj wa siku hizi walivyo machizi wanachanganya ovyo ovyoo.. ila mala moja moja.. dodoma Bambalanga kuna Dj mmoja huwa anachapa hatari.. unaweza jikuta umeondoka asubuhiiYuko vizuriiiii😍
Body inaruhusu
Aaah kumbe, basi sawakuulaza mwili tuu 😄😄😄
Tabasam muruaTabasamuni na madam kwanza!View attachment 2179440

.
nikitaka kulala vizuri na overdose kahawaa hapo nitalala kama kichangaaAaah kumbe, basi sawa
Ewaaaaa so kind polite and descent! On top of that so natural!😜😜😜!😜😜😜😜An African woman!
The mother of all civilizations!
The mother of humanity!
Boss Lady![]()
Lakini uliahidi Boss Lady. Mioyo inakukurika huku kwa matumaini. Ubongo uko tayari kuachilia dopamine. System zote ziko on yaani. Weka mtandio Boss Lady. Hakuna mtoto hapa!
! Sina uswahili mie msukuma!!! Sema Mtandio noma kidogo!!
Yeees hyo hyo taita.Nadhani inaitwa taita,namkubali sana sugu...
Kwanza ni picha ya kawaida sana.Lakini uliahidi Boss Lady. Mioyo inakukurika huku kwa matumaini. Ubongo uko tayari kuachilia dopamine. System zote ziko on yaani. Weka mtandio Boss Lady. Hakuna mtoto hapa!
Kiazi KitamuKaribu chuga basi uje kuona mabus mazuri Shabiby akasome
