Selfika na JF: Snap it. Show it

Changamoto za Technology hizo.. imekuja rahisishia kazi ila wamebweteka.. unakaa mahala hadi unamtukana Dj kimoyo moyo
Ni tatizo kila mahali. Huwa naangalia kipindi cha Air Disasters. Ajali nyingi tu zinasababishwa na marubani kutegemea sana automation. Kukiwa na dharura ya kweli au hiyo automated system ikikorofisha wanakuwa hawajui la kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…