Natamani kubisha lakini nikubali tu, mimi niko karibu sana na njia ya Bagamoyo ambayo baadhi ya mabasi kutoka na kwenda kaskazini yanapita, sijawahi kuona gari inayomtangulia tilisho, labda njia ya chalinze ila ya msata na kataa.