Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]babu,vitu vingine ukijitizama tu huwezi vaa maana unaweza tishia raia[emoji3], baibui jeusi+hijabu nyeusi+ viatu virefu[emoji3][emoji3]

Babu utanikimbia mjukuu wako[emoji2442][emoji2442]
Yaani hawa wapenda heels wa humu karibu wote ni mangongoti. Aisee mnanogaga sana mkigonga mabaibui yenu, trouser ndani na πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ πŸ‘ 
 
Kwa kweli nimemsimulia Bibi yako hilo tukio lako, amecheka sana. Kuna wakati nayeye aliwahi kusema hivyo hivyo wakati ambapo alipotea nyumbani kwa masaa 48, napata mashaka kwa kweliπŸ˜‚πŸ˜‚
Umeamini sasa babu kuwa huyo mdudu yupo eeh🀣🀣🀣
Lakini uzuri anakurudisha nyumbani salama, hilo ndio la muhimu babu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…