Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inamaana nimebaki Mimi na Depal tu?[emoji134]
 
Amependeza Sana
Ila mm siku nikijaribu icho kiatu mtanikuta MUHIMBILI kitengo Cha mifupa [emoji23][emoji23]
Ila mnapendeza Sana mkivaa aisee
Hivi viatu bwana sio vya kuviparamia vitakunyoosha. Zamani zamani kuna siku nilivaa hicho kiatu kirefu kweli nikazama kanisani wakat narudi nikasema nitembee tu nyumban sio mbali weee nilivua nilirudi peku sitasahau. Navipenda ila naviheshimu mno [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amependeza Sana
Ila mm siku nikijaribu icho kiatu mtanikuta MUHIMBILI kitengo Cha mifupa [emoji23][emoji23]
Ila mnapendeza Sana mkivaa aisee
[emoji23]nimecheka jmn
Eti mhimbili kitengo cha mifupa!
Pole
Mi sipendi viatu vya chini
Kwenye event yyt, church, navaa high heels!
Except kwenye mizunguko tu ya kawaida
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ss uwe unafanya hivi!
Unakuwa na simple zako kwenye hand bag! Ibada ikiisha unarudi home,unavua tu,unavaa simple zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ss uwe unafanya hivi!
Unakuwa na simple zako kwenye hand bag! Ibada ikiisha unarudi home,unavua tu,unavaa simple zako
Nina kawaida ya kubeba flat shoes siku ile sijui ikawaje sikubeba bwana,alaf kilichonipa jeuri kanisan na home sio mbali kiihivyo nikajua kiatu nitakimudu. Aisee nilijuta sitarudi[emoji3] njian wakawa wananitania viatu virefu waachien kina Shakira [emoji23][emoji23]
 
Sasa team ikiuzwa ndiyo nini?
Tuna imani na vijana wetu plus kocha, hata tukiwa Kongolo FC still we can go extra miles.

Daraja litavukwa, mpende msipende.
Lenu iloooo aseno, kama sio lenu basi la majirani zenu Man U 🤪🤪
Kwani hujasoma Sheria Mpya ya Babu, ni lazima uhamie Arsenal yake na sio Chelsea yako🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…