Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli kabisa tena kukaa nyumbani ndio kabisaaa! Bora umuweke bize na vijishughili hizo nyeg atazipata wapi na hekaheka hizo!!
Ndio vizuri sasa, tena hakuna kitu napenda kama kumnyandua mwanamke mwenye nyg, yaani vile vitabu 10 vyote vya namna ya kumkojoza na vile video za youtube hapo ndio mahali huwa vinakuwa applied.
 
Ndio vizuri sasa, tena hakuna kitu napenda kama kumnyandua mwanamke mwenye nyg, yaani vile vitabu 10 vyote vya namna ya kumkojoza na vile video za youtube hapo ndio mahali huwa vinakuwa applied.
Namaanisha Maisha ya sasa nyote mke na mume mkileta kipato itapendeza zaidi kuliko mmoja kukaa tu nyumbani!!!
 
Ni ukweli mchungu.
Halafu sasa hivi si muda tutaanza kuwategemea mpo kasi sana na mnatumia fursa vilivyo.
Hahahaaa.....! Hio Haileti heshima kabisa!!
Kwakweli inabariki na kupendeza sana kuona mwanaume ni provider sasa mwanaume wewe ndio uwe wa kupewa doh!!! Inasikitisha na kudhraulisha sana!
 
Hahahaaa.....! Hio Haileti heshima kabisa!!
Kwakweli inabariki na kupendeza sana kuona mwanaume ni provider sasa mwanaume wewe ndio uwe wa kupewa doh!!! Inasikitisha na kudhraulisha sana!
Haki sawa,au hutaki haki sawa?
WANAWAKE WANAWEZAA.

Kwani we mahondaw unashindwa nini kuninunulia chakula na malazi kama nimekata ringi?

Mbona nyie wabinafsi sana, basi tutoe haki sawa.
 
MoG, be blessed kwa kweli. Unailisha sana nafsi yangu πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…