bonjov
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,406
- 3,103
Na spana number 10 😂😂😂Nakazia
Na spana number 10 😂😂😂Nakazia
Nilikuja mwenyewe humuweka babuu!! Saivi una muda nitengeneze fastaa nikuje kukuletea??Nitamwambia, vipi Kuna mtu ulimwagiza aniletee dawa zangu za kikohozi au umesahau tena??🤪🤪
Babu yako bado naumwa ujue🙊
Kama ulileta bahasha yenye dawa zile tamu tamu za kikohozi itakuwa kuna vijana hapo nje wamekunywa, fanya unitumie saivi nakaa mwenyewe nje kuisubiri.Nilikuja mwenyewe sikukukuta nikaacha ujumbe kwa waziri mkuu babuu! pitia utaukuta!
Ewaaa!! BossLady hakika unakonga nyoyo yangu....😍😍
on my way there usitoke nakuja fastaaaKama ulileta bahasha yenye dawa zile tamu tamu za kikohozi itakuwa kuna vijana hapo nje wamekunywa, fanya unitumie saivi nakaa mwenyewe nje kuisubiri.
Yaani kinanitesa kweli hiki kikohozi 🥱



Niletee, saivi nina nafasi hata hawa walinzi kwenye hii ofisi nimewapa taarifa ya ujio wako mjukuuNilikuja mwenyewe humuweka babuu!! Saivi una muda nitengeneze fastaa nikuje kukuletea??
Nakusubiri Mjukuuon my way there usitoke nakuja fastaaa![]()
Ok pamoja sanaTumemiss selfie zako dear.
Nilikuwa nawatag wadau wote tuliokuwepo mwanzo mwanzo kipindi Uzi umepamba moto
Karibu ujiunge kushabikia timu ya Babu, we are getting better with Mikel Arteta and of course there is bright future ahead 💪💪Mashabiki wa arsenal![]()
Hahahaaa.... umechelewa murembo mzuri mzuri!!! Ulikua wapi lakini nimekuita sana ujue!Boss lediii...sijaonaaaa picha Mimi