Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,006
Ndiioo ndioooo!! santo sanaaaaa 😘😘✌️[emoji846]View attachment 2177099
Ndiioo ndioooo!! santo sanaaaaa 😘😘✌️[emoji846]View attachment 2177099
Sitoki Bosi Ledi [emoji16]ulikua wapi msukuma jamani haya kaa hapo hapo usitoke
Shemeji huyoo,, ile mishe yetu umekaa kimya sana shemeji [emoji4][emoji4]Msukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Buti limekaa mahala pake... ulipita jkt eehh[emoji8][emoji8][emoji12]??[emoji846]View attachment 2177099
Asante Boss Lady. Kweli hili ni vazi la heshima japo halijafanikiwa kuficha yanayopaswa kuonekana. An African woman! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8]Msukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Sijambo babuu! Mwambie bibi vibaya hivoo awe anakuachia walau wazee hamtakiwi kubabwa kiivo Jamani!Bibi yako leo amenifanyia makusudi ya kunifichia Miwani yangu, yaani Usiku huu ndiyo kanirudishia [emoji85][emoji2957][emoji2957]
Anyways, hujambo lakini Mjukuu?
Ingekuwa ni huku Kijijini wangesema nina mguu mzuri, yaani naingia tu nakutana na Neema za Allah 🙊Msukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Juzikati Nilikutafuta sana shem dogo alikua amekuja kunisalimia ujue!Shemeji huyoo,, ile mishe yetu umekaa kimya sana shemeji [emoji4][emoji4]
Boss ledi wa nguvuMsukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Nitamwambia, vipi Kuna mtu ulimwagiza aniletee dawa zangu za kikohozi au umesahau tena??🤪🤪Sijambo babuu! Mwambie bibi vibaya hivoo awe anakuachia walau wazee hamtakiwi kubabwa kiivo Jamani!
🤭🤭🤭🤭😘😘😘 Asante msukuma!!Asante Boss Lady. Kweli hili ni vazi la heshima japo halijafanikiwa kuficha yanayopaswa kuonekana. An African woman! [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8]
Boss ledi wa nguvu
Nitamwambia, vipi Kuna mtu ulimwagiza aniletee dawa zangu za kikohozi au umesahau tena??🤪🤪
Babu yako bado naumwa ujue🙊
That's powerful, wakazieni watoboe....😂😂😂
kwema sana! Vijana wako poa msukuma tunaendelea kuwarescue ado ado !! Tunaamini Watatoka tu !!
Kuna haja ya kurudi Bukoba... Mwenye nyumba wangu sijui atakuwa ametoa vyombo vyangu?!!!Msukuma Kwaresma + Ramadhan hii Sitaki tabu na mtuu[emoji8][emoji8][emoji12]!View attachment 2177103
Bado kitu kimoja pembeni 😄😄
hahahaaaaa!!!Kuna haja ya kurudi Bukoba... Mwenye nyumba wangu sijui atakuwa ametoa vyombo vyangu?!!!
Yaniii ..That's powerful, wakazieni watoboe....