ππππ JamaniiNimemwomba Junia ufutio hapa futa na kufuta na wewe emoji haitoki....hata huto tu-kopa kopa wapiiiii.....
Pilipili na chai [emoji23][emoji23] naona na chapati kwa mbali [emoji1787] au pilipili ndiyo mbadala wa iliki hiyo
[emoji106]
Natia huruma...hapa junia analia ufutio wake eti "dadii dadii my rubbeeer, I hate you"πππ ....na Sura kuona holaaaππππ Jamanii
Unaweza Sema "enka" inauma Leo hakuna kazi πππ ufaidi uwepo wa dera na ushungi matata plus jicho legevuππhawa watoto ni shidaaa hapo sema hujasikia harufu ya marashi.. unaweza pagawaaa.. ππ
ππππ umenikumbusha mbali sana.. hawa wanajua kujali wenyenyekevu kwa waume zao.. yaani dah acha kabisa wawe na maisha marefuUnaweza Sema "enka" inauma Leo hakuna kazi πππ ufaidi uwepo wa dera na ushungi matata plus jicho legevuππ
[emoji23][emoji23][emoji23]eeh chai na papatiPapati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Yani ni shida chapati Kama kioo[emoji1][emoji1][emoji1] alafu nyepesi kama karatasi unaweza kula kumi
πππ kulikuwa na supu ya malapu lapuPilipili na chai [emoji23][emoji23] naona na chapati kwa mbali [emoji1787] au pilipili ndiyo mbadala wa iliki hiyo
unabugia hata 10 ππYani ni shida chapati Kama kioo
Upo vizuri[emoji1][emoji1][emoji1] kulikuwa na supu ya malapu lapu
Ya malapulapu buku 3 unasusiwa jungu[emoji1][emoji1][emoji1] kulikuwa na supu ya malapu lapu
ila ukikuta mtengenezaji fundi huwa mazuri.. uswazi huwa kuna raha yake bwanaa.. maisha cheap kabisa
Hakika nimegusa mjumbe mkuu wa wapenda ushungi na macho legevu πππππππ umenikumbusha mbali sana.. hawa wanajua kujali wenyenyekevu kwa waume zao.. yaani dah acha kabisa wawe na maisha marefu
Maajabu ni kwamba zinatoka balaaa....na zinaishaunabugia hata 10 ππ
unataka maisha marefu, chukua binti wa kiislam alie lelewa kwenye maadili safi, hata akikufaniwa itabaki siri ya ndani hatokufanyia vurugu wanajua nafasi ya mwanaume na nini mwanaume anataka.. ukienda sekta ya mapishi ndio π₯π₯π₯Hakika nimegusa mjumbe mkuu wa wapenda ushungi na macho legevu πππ
na wataalamu wa uchumi, ukila hizi husikii njaa harakaMaajabu ni kwamba zinatoka balaaa....na zinaisha
Huyu ni mimi kabisa [emoji848]