Selfika na JF: Snap it. Show it

mimi mtoto wangu huwa nampa .challenge.support na kum inspire
 
halafu ukute wa huku kwetu.kwa mama zakaria
 
Inategemea na kosa mkuu, kuna makosa ni fimbo moja kwa moja na mengine sawa unaweza fanya hvyo.

Chukulia mfano wangu wa mwisho hapo juu uone kama hvyo utamnyima nini mtoto.

Pia yes wazazi wengi siku hizi wanaiga mambo mitandaoni mengine ndiyo yanayowapoteza katika malezi.

Mimi mwanangu nitamlea kama nilivyolelewa, ni adhabu tu nitapunguza kiasi kikubwa ila fimbo atakula tu...
 
Sawa lakini isiwe ndio option pekee kumpiga kila wakati, kuhusu matusi wazazi wengine huwa ndio wanawafundisha "mbwa wewe" n.k. ila kiukweli sisikiagi wazazi wa kiume wakitukana kama wa kike.

Lakini ni jukumu la wazazi wote kumlea mtoto vyema.
 
mimi mtoto wangu huwa nampa .challenge.support na kum inspire
Mm viboko vimeninyoosha

Kwanza mda wa kurudi shule lazima niongeze masaa mawili Yan kucheza njian
Nikapewa mda muda nusu saa baada yakutoka shule niwe nimefika home nikichelewa stick sasahiv Yan sasa naenda na muda balaa
Sema si sikuhiz wanapanda schoolbus

Kosa la pili kugawa vyakula ovyo yani mama apike mm nisiwape rafikizangu chakula aisee sio mm nilikuwa napewa kipigo sasahiv napanga bajeti Hadi ya keshokutwa

La tatu kupika Yan darasa la nne weekend nasonga ugali wa kula watu wanne na kwa muda saa Saba ugali umepikwa mama anapika mboga tu na chakula Cha jion sasa wew cheza had saa nane watu hawajala
labda utafute wazee mapema wa kukuombea msamaha


Sasahiv bint anamliza darsa la Saba hajui kutoa chombo alichokula mwenyew chakula aah wew sio mamaangu mm
 
Aisee
 
aisee
, Kwamba umnyime gari baada ya kupigwa na begi...
 
Eti we Dullah acha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…