Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,424
- 95,903
chombo halafu kikali,huwa raha sanaHakika mkuu. Nzuri Sana kumiliki chombo chako mwenyewe.
Sanaaaaaπππ tutamu huto sana
uswazi ndio kwenyewe kwa vitu km hivyonipo uswazi kuna dingi katoa tambi moja matata sanaaa
kuzidi πππSanaaaaa
Assume huna nguo nyumbani kwako. Kila ukihitaji kuvaa nguo (na lazima uvae) unaenda kuomba/kununua nguo. Hizo taabu utakazozipata hazisemeki.acha mambo hayoo.. hakuna kinachokosekana kwa asie oa pia.. pattern ya mwandamu tofauti ndio maana wote hatujawa designed kuoa mzeee
Hawezi kukuelewa huyo kijana π¬Assume huna nguo nyumbani kwako. Kila ukihitaji kuvaa nguo (na lazima uvae) unaenda kuomba/kununua nguo. Hizo taabu utakazozipata hazisemeki.
Sasa mke ni zaidi ya nguo. Ni rafiki, ni partner, ni usingizi, ni mshauri, ni mshindani n.k Unakosa vingi asee
Ni za serikalini[emoji23]
Hiyo juice tuπ
Thubutuuuuu!! ukilewa tutakufunga kamba kabisa wewe!!Ah wapi
Nikilewa akili inakuwa fresh.
Kama hapa nimelewa.
πππ hamna ukweli kwenye kukosa vingi.. inategemea na definition ya mke kwako.. But kwa definition yangu hakuna sehemu ya mwanamke kwamba ana muhumu. Ingawa wenye ndoa nawafurahi nawapongeza na ni jambo jema.. ila sio mke atakufanya uwe complete na pia mke anaweza kukufanya ukawa completeAssume huna nguo nyumbani kwako. Kila ukihitaji kuvaa nguo (na lazima uvae) unaenda kuomba/kununua nguo. Hizo taabu utakazozipata hazisemeki.
Sasa mke ni zaidi ya nguo. Ni rafiki, ni partner, ni usingizi, ni mshauri, ni mshindani n.k Unakosa vingi asee
KaribuπHiyo juice tuπ
Dah! umeninyima ila fresh ππHiyo juice tuπ
tukaribisheni makobelo muone shoo shooo πππKaribuπ
Yaani hapa nimeshiba uji na maji miguu juu napeluziii JFKaribuπ
Subiri tulio funga tubakishe kama kitabaki umesikia kobeπ¬tukaribisheni makobelo muone shoo shooo πππ
πππYaani hapa nimechiba uji na maji miguu juu napeluziii JF
Kweli nimepiga vyomboThubutuuuuu!! ukilewa tutakufunga kamba kabisa wewe!!
wewe wa kunifanyia mimi hivi jamani asalaleee ππππ¬π¬π¬π¬Subiri tulio funga tubakishe kama kitabaki umesikia kobeπ¬