Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,981 mahondaw said: kwa akili zako hizo nitakupiga makonzi mpaka basi! Click to expand... Hadi wewe huwa unachapa?
mahondaw said: kwa akili zako hizo nitakupiga makonzi mpaka basi! Click to expand... Hadi wewe huwa unachapa?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,324 Apr 4, 2022 #174,982 wewe ukilewa nahisi utatembea uchii kabisa!!! kwahio akili yako anne!! 🙄🤭 Saint Anne said: Ewaaa Hao sasa tutaongea lugha moja Click to expand...
wewe ukilewa nahisi utatembea uchii kabisa!!! kwahio akili yako anne!! 🙄🤭 Saint Anne said: Ewaaa Hao sasa tutaongea lugha moja Click to expand...
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Apr 4, 2022 #174,983 9.8ms squared said: kweli mkuu ni jambo zuri sana hilo, kuleni maisha vizuri.Sie bado bado tupo sana Click to expand... Unakosa vingi
9.8ms squared said: kweli mkuu ni jambo zuri sana hilo, kuleni maisha vizuri.Sie bado bado tupo sana Click to expand... Unakosa vingi
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,324 Apr 4, 2022 #174,984 Ayayayayayayayayayayayaaa!! Hawa watoto usipochapa watakupanda kichwani mbona yani watakufanya bibi yao! Saint Anne said: Hadi wewe huwa unachapa? Click to expand...
Ayayayayayayayayayayayaaa!! Hawa watoto usipochapa watakupanda kichwani mbona yani watakufanya bibi yao! Saint Anne said: Hadi wewe huwa unachapa? Click to expand...
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,985 Kashaija72 said: Unakosa vingi Click to expand... hamna nacho kosa asee 😬😬😬
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Apr 4, 2022 #174,986 mahondaw said: wewe ukilewa nahisi utatembea uchii kabisa!!! kwahio akili yako anne!! Click to expand... Na umbo lake lilivyo mbona atafunga mtaa
mahondaw said: wewe ukilewa nahisi utatembea uchii kabisa!!! kwahio akili yako anne!! Click to expand... Na umbo lake lilivyo mbona atafunga mtaa
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,324 Apr 4, 2022 #174,987 Kashaija72 said: Na umbo lake lilivyo mbona atafunga mtaa Click to expand... Kabisa yanii!
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Apr 4, 2022 #174,988 9.8ms squared said: hamna nacho kosa asee Click to expand... Amini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengi
9.8ms squared said: hamna nacho kosa asee Click to expand... Amini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,989 mahondaw said: Ayayayayayayayayayayayaaa!! Hawa watoto usipochapa watakupanda kichwani mbona yani watakufanya bibi yao! Click to expand... Uliona lakini mbinu za kivita nikizokupa??
mahondaw said: Ayayayayayayayayayayayaaa!! Hawa watoto usipochapa watakupanda kichwani mbona yani watakufanya bibi yao! Click to expand... Uliona lakini mbinu za kivita nikizokupa??
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 4, 2022 #174,990 9.8ms squared said: Wanasemaga unamwagia oil chafu.. hawapatani nayo wanasepa au funga vinyani vingi nyoka hakai Click to expand... Hata ngedere au? Hapa ninapoishi kuna ngedere kibao na hao wajuba wapo tele
9.8ms squared said: Wanasemaga unamwagia oil chafu.. hawapatani nayo wanasepa au funga vinyani vingi nyoka hakai Click to expand... Hata ngedere au? Hapa ninapoishi kuna ngedere kibao na hao wajuba wapo tele
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,991 mahondaw said: wewe ukilewa nahisi utatembea uchii kabisa!!! kwahio akili yako anne!! Click to expand... Ah wapi Nikilewa akili inakuwa fresh. Kama hapa nimelewa.
mahondaw said: wewe ukilewa nahisi utatembea uchii kabisa!!! kwahio akili yako anne!! Click to expand... Ah wapi Nikilewa akili inakuwa fresh. Kama hapa nimelewa.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,324 Apr 4, 2022 #174,992 Saint Anne said: Uliona lakini mbinu za kivita nikizokupa?? Click to expand... Niliona..... ni nzuri pia especially shule za private huko huku serikalini tunaenda nao kibishi tu !
Saint Anne said: Uliona lakini mbinu za kivita nikizokupa?? Click to expand... Niliona..... ni nzuri pia especially shule za private huko huku serikalini tunaenda nao kibishi tu !
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Apr 4, 2022 #174,993 Kashaija72 said: Amini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengi Click to expand... hahahaha.tena awe mke mzuri ,raha sana
Kashaija72 said: Amini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengi Click to expand... hahahaha.tena awe mke mzuri ,raha sana
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,994 Kelsea said: Hata ngedere au? Hapa ninapoishi kuna ngedere kibao na hao wajuba wapo tele Click to expand... Sijajua ila mahala palipo na hawao mabwana wa kutosha nyoka husepa wenyewe vinawaua sana
Kelsea said: Hata ngedere au? Hapa ninapoishi kuna ngedere kibao na hao wajuba wapo tele Click to expand... Sijajua ila mahala palipo na hawao mabwana wa kutosha nyoka husepa wenyewe vinawaua sana
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Apr 4, 2022 #174,995 Karibu tupate iftar.ila kesho tuache ukobe
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,996 Kashaija72 said: Amini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengi Click to expand... acha mambo hayoo.. hakuna kinachokosekana kwa asie oa pia.. pattern ya mwandamu tofauti ndio maana wote hatujawa designed kuoa mzeee
Kashaija72 said: Amini Amin nakwambia Asiye na mke akosa mengi Click to expand... acha mambo hayoo.. hakuna kinachokosekana kwa asie oa pia.. pattern ya mwandamu tofauti ndio maana wote hatujawa designed kuoa mzeee
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,997 mahondaw said: Niliona..... ni nzuri pia especially shule za private huko huku serikalini tunaenda nao kibishi tu ! Click to expand... Ni za serikalini
mahondaw said: Niliona..... ni nzuri pia especially shule za private huko huku serikalini tunaenda nao kibishi tu ! Click to expand... Ni za serikalini
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,998 mtu chake said: Karibu tupate iftar.ila kesho tuache ukobe Click to expand... nipo uswazi kuna dingi katoa tambi moja matata sanaaa
mtu chake said: Karibu tupate iftar.ila kesho tuache ukobe Click to expand... nipo uswazi kuna dingi katoa tambi moja matata sanaaa
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Apr 4, 2022 #174,999 mtu chake said: hahahaha.tena awe mke mzuri ,raha sana Click to expand... Hakika mkuu. Nzuri Sana kumiliki chombo chako mwenyewe.
mtu chake said: hahahaha.tena awe mke mzuri ,raha sana Click to expand... Hakika mkuu. Nzuri Sana kumiliki chombo chako mwenyewe.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #175,000 Iftar