Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 4, 2022 #174,861 Kelsea said: Sipatan nao kabisa, nikiona hata picha tu kama hapo juu nashtuka yaan Click to expand... Tupo wengi aisee Aliingia mojaa hadi ndani .. aisee nilipiga kelele na kukaa nje siku nzima maana hakuonekana dah
Kelsea said: Sipatan nao kabisa, nikiona hata picha tu kama hapo juu nashtuka yaan Click to expand... Tupo wengi aisee Aliingia mojaa hadi ndani .. aisee nilipiga kelele na kukaa nje siku nzima maana hakuonekana dah
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,862 mtu chake said: cjaelewa Click to expand... Uwekezaji kama unafundisha form six.. kidogo wapo chuo.. kifungu cha 30 kinaisha..
mtu chake said: cjaelewa Click to expand... Uwekezaji kama unafundisha form six.. kidogo wapo chuo.. kifungu cha 30 kinaisha..
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Apr 4, 2022 #174,863 Saint Anne said: Mimi najisemeaga tu ashukuriwe Mungu aliyeniumba mwanamke na nguvu sina. Ningekuwa wa kiume nadhani ningekuwa ndani saa hizi. Kuna watu wanakuja kukukera tu unawaza tu hawa ningekuwa na nguvu sipotezi muda kulalamika,ni kupiga tu. Click to expand... kn kipindi nilIfanya TOT. Sasa inabidi niwa train wanafunzi fulani,dah walitaabika sana
Saint Anne said: Mimi najisemeaga tu ashukuriwe Mungu aliyeniumba mwanamke na nguvu sina. Ningekuwa wa kiume nadhani ningekuwa ndani saa hizi. Kuna watu wanakuja kukukera tu unawaza tu hawa ningekuwa na nguvu sipotezi muda kulalamika,ni kupiga tu. Click to expand... kn kipindi nilIfanya TOT. Sasa inabidi niwa train wanafunzi fulani,dah walitaabika sana
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,864 Kelsea said: Na watoto wa siku hizi ni wajeuri yaan kama wanaambizana vile Click to expand... πππ msiwasakizie watoto.. watoto ni product ya wazazi na jamii watokayo.. so walimu wajeuri na watoto wajeuri lazima pachimbike
Kelsea said: Na watoto wa siku hizi ni wajeuri yaan kama wanaambizana vile Click to expand... πππ msiwasakizie watoto.. watoto ni product ya wazazi na jamii watokayo.. so walimu wajeuri na watoto wajeuri lazima pachimbike
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 4, 2022 #174,865 Tinsley said: Tupo wengi aisee Aliingia mojaa hadi ndani .. aisee nilipiga kelele na kukaa nje siku nzima maana hakuonekana dah Click to expand... pole, ina mana aliingia na kutoka mwenyewe
Tinsley said: Tupo wengi aisee Aliingia mojaa hadi ndani .. aisee nilipiga kelele na kukaa nje siku nzima maana hakuonekana dah Click to expand... pole, ina mana aliingia na kutoka mwenyewe
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,866 Kelsea said: Na watoto wa siku hizi ni wajeuri yaan kama wanaambizana vile Click to expand... Kuna namna tu wakitengenezwa wanakuwa vizuri Labda tu mtoto awe sugu aliyeshindikanika.
Kelsea said: Na watoto wa siku hizi ni wajeuri yaan kama wanaambizana vile Click to expand... Kuna namna tu wakitengenezwa wanakuwa vizuri Labda tu mtoto awe sugu aliyeshindikanika.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,867 mtu chake said: kn kipindi nilIfanya TOT. Sasa inabidi niwa train wanafunzi fulani,dah walitaabika sana Click to expand...
mtu chake said: kn kipindi nilIfanya TOT. Sasa inabidi niwa train wanafunzi fulani,dah walitaabika sana Click to expand...
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 4, 2022 #174,868 9.8ms squared said: msiwasakizie watoto.. watoto ni product ya wazazi na jamii watokayo.. so walimu wajeuri na watoto wajeuri lazima pachimbike Click to expand... Wewe watoto wa zama hizi wamezidi ujeuri bwana
9.8ms squared said: msiwasakizie watoto.. watoto ni product ya wazazi na jamii watokayo.. so walimu wajeuri na watoto wajeuri lazima pachimbike Click to expand... Wewe watoto wa zama hizi wamezidi ujeuri bwana
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Apr 4, 2022 #174,869 Tinsley said: Tupo wengi aisee Aliingia mojaa hadi ndani .. aisee nilipiga kelele na kukaa nje siku nzima maana hakuonekana dah Click to expand... Nisingeweza kulala humo ndani
Tinsley said: Tupo wengi aisee Aliingia mojaa hadi ndani .. aisee nilipiga kelele na kukaa nje siku nzima maana hakuonekana dah Click to expand... Nisingeweza kulala humo ndani
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,870 Kelsea said: Wewe watoto wa zama hizi wamezidi ujeuri bwana Click to expand... hapana.. ujerui wamejifunza kwa wakubwaaa sasa ambao ndio nyie hapo πππ
Kelsea said: Wewe watoto wa zama hizi wamezidi ujeuri bwana Click to expand... hapana.. ujerui wamejifunza kwa wakubwaaa sasa ambao ndio nyie hapo πππ
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Apr 4, 2022 #174,871 9.8ms squared said: uzuri unajilipa posho tena kama hao wa form six.. π¬π¬π¬ Click to expand... hahahaha.nimekusoma
9.8ms squared said: uzuri unajilipa posho tena kama hao wa form six.. π¬π¬π¬ Click to expand... hahahaha.nimekusoma
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 4, 2022 #174,872 Kelsea said: pole, ina mana aliingia na kutoka mwenyewe Click to expand... Yaani niliacha mlango wazi nikakimbia kutafuta mtu . Sema sasa yeye alikuwa dirishani natoa pazia hivi nifue huyo namuona ametulia nikasema siwezi kumuua huyu .
Kelsea said: pole, ina mana aliingia na kutoka mwenyewe Click to expand... Yaani niliacha mlango wazi nikakimbia kutafuta mtu . Sema sasa yeye alikuwa dirishani natoa pazia hivi nifue huyo namuona ametulia nikasema siwezi kumuua huyu .
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 4, 2022 #174,873 Saint Anne said: Kuna namna tu wakitengenezwa wanakuwa vizuri Labda tu mtoto awe sugu aliyeshindikanika. Click to expand... Ndio hao nawasemea, hawasikii hata ufanyaje
Saint Anne said: Kuna namna tu wakitengenezwa wanakuwa vizuri Labda tu mtoto awe sugu aliyeshindikanika. Click to expand... Ndio hao nawasemea, hawasikii hata ufanyaje
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 4, 2022 #174,874 9.8ms squared said: hapana.. ujerui wamejifunza kwa wakubwaaa sasa ambao ndio nyie hapo Click to expand... Mimi sio mjeuri jaman
9.8ms squared said: hapana.. ujerui wamejifunza kwa wakubwaaa sasa ambao ndio nyie hapo Click to expand... Mimi sio mjeuri jaman
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,452 Apr 4, 2022 #174,875 9.8ms squared said: hapana.. ujerui wamejifunza kwa wakubwaaa sasa ambao ndio nyie hapo πππ Click to expand... kn siku niko obay pale shule kumchek.mwl alimkosesha mwanafunzi swali.mwanafunzi akamwambia mwl huna akili.hujielewi
9.8ms squared said: hapana.. ujerui wamejifunza kwa wakubwaaa sasa ambao ndio nyie hapo πππ Click to expand... kn siku niko obay pale shule kumchek.mwl alimkosesha mwanafunzi swali.mwanafunzi akamwambia mwl huna akili.hujielewi
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Apr 4, 2022 #174,876 Tinsley said: Yaani niliacha mlango wazi nikakimbia kutafuta mtu . Sema sasa yeye alikuwa dirishani natoa pazia hivi nifue huyo namuona ametulia nikasema siwezi kumuua huyu . Click to expand... pole sana. Hukuhama chumba kweli?
Tinsley said: Yaani niliacha mlango wazi nikakimbia kutafuta mtu . Sema sasa yeye alikuwa dirishani natoa pazia hivi nifue huyo namuona ametulia nikasema siwezi kumuua huyu . Click to expand... pole sana. Hukuhama chumba kweli?
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 4, 2022 #174,877 Saint Anne said: Nisingeweza kulala humo ndani Click to expand... Yaani niliogopa sema Mungu ni mwema Baadae nikapata ujasiri nikachoma tairi ndani wapi haonekani tafuta weh haonekani .
Saint Anne said: Nisingeweza kulala humo ndani Click to expand... Yaani niliogopa sema Mungu ni mwema Baadae nikapata ujasiri nikachoma tairi ndani wapi haonekani tafuta weh haonekani .
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,761 Apr 4, 2022 #174,878 mtu chake said: hahahaha.nimekusoma Click to expand... πππ Walimu wa kibaba mtihani sanaaa.. tena wabinti wa siku mtoto yupo form four ila anapendeza utadhani anafanya phd.. usipokuwa makini unachana mkeka
mtu chake said: hahahaha.nimekusoma Click to expand... πππ Walimu wa kibaba mtihani sanaaa.. tena wabinti wa siku mtoto yupo form four ila anapendeza utadhani anafanya phd.. usipokuwa makini unachana mkeka
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Apr 4, 2022 #174,879 9.8ms squared said: hamna lolote kelele tu Click to expand... Kawaida mwenye nacho akifurahia alichonacho mnaona mnaonewa. Tulia kijana
9.8ms squared said: hamna lolote kelele tu Click to expand... Kawaida mwenye nacho akifurahia alichonacho mnaona mnaonewa. Tulia kijana
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Apr 4, 2022 #174,880 Kelsea said: pole sana. Hukuhama chumba kweli? Click to expand... Sebuleni ndo eneo la tukio Ilibidi nishinde jikoni tu maana ni karibu na mlango .
Kelsea said: pole sana. Hukuhama chumba kweli? Click to expand... Sebuleni ndo eneo la tukio Ilibidi nishinde jikoni tu maana ni karibu na mlango .