Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna

Tena wewe nitakuwa special treatment na bonus ya transport allowance bure kabisa…
Kama hakuna fimbo sawa

Hakuna kitu nilikuwa naogopa shule kama fimbo,,nilijitahidi sana kuzikwepa..
Nikitandikwa basi ni makosa ya jumla jumla.

Kwahiyo kila siku utanipa lift hadi mbezi??
Hadi hapa nina uhakika wa 'A'

Wewe unafundisha somo gani mkuu??
Nataka somo unalofundisha nije nilisome upya aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…