Daah ualimu ni wito jamaniUnaishiwa hadi pozi nakwambia!!!
Sasa kuna mwalimu wa language hapa amenichekesha sina mbavu...
form 6 essay question mwanzo kabisa anakuandikia
" Yes I agree" uwiii mwalimu Nusu alie kwa masikitiko!
Unafundisha shule gani mkuu nije kusomaNdio maana yake pia kufundisha kwa kufuata mtaala raha sana, yaani huwa naandaa notes zangu kwa mtindo wa maswali vijana labda wawe wazembe wanaojitambua huwa wanafanya vizuri kabisa
Zitatimia insha'AllahMungu akufanyie wepesi, ndoto zako zitimie.
Unafundisha shule gani mkuu nije kusoma
Acha tu kamanda! kizazi chenyewe cha dotcom hiki sasa!!Daah ualimu ni wito jamani
Nimeshtukaa
Ngoja nikupe mbinuAsante mamy hio ipo huwa tunawapa " morning quiz'
Mnapokea private candidate?Shule ya sekondari Makumbusho boss, karibu sana.
Mnapokea private candidate?
Mnapokea private candidate?
Kuna muda sijui hata huwa naziacha wapi hata mimi sijuilakini wewe akili zako
Kusoma ndiyoKwa ajili ya kujifunza its okay, ila mwanafunzi anapaswa kuwa na kituo chake cha kufanyia mtihani boss wangu..
Aah wapiHuyu mwanafunzi huyu
kwanini bossNimeshtukaasipatani kabisa na huyo kiumbe
πππ Vibe la uswazi huwa tamu sanaa.. hapa twavuta masaa tuchape tangawizi baadae groundshow za kibabe watu wa mikoani hawana masikhara
walimu kazi mnayoNgoja nikupe mbinu
Hii sasa inatakiwa uanze nayo mwanzo tu ukikabidhiwa watoto.
Wakati nasoma nakumbuka kuna mwalimu tulikuwa tunamwita mwalimu portifolio
Alitaka kila mwanafunzi awe na file halafu anakagua j3,j5 na ijumaa.
J3 anakagua ulisoma nini weekend,
Jumatano anakagua ulisoma nini j3 na j4
Na ijumaa anakagua ulichosoma j5 na Alhamisi.
Kwahiyo unapaswa kusoma na kuelewa ikiwa pamoja na kukariri na kuandika summary na kuzibana kwenye file hilo aliloliita portifolio.
Ukisoma kidogo ..yaani summary vitu vichache jua ni fimbo.
Usiposoma kabisa..yaani akipita kukagua wewe hukuandika summary ni fimbo.
Ukiandika summary ya kutosha bila kukariri ni fimbo maana anauliza maswali kulingana na uliposoma.
.........
Mwisho wa mwezi anafanya tathmini ya portifolio lako lote.
Aliandaa list ya maswali zaidi ya 500 kwa topics zote na kila mmoja alikuwa na kazi ya kuyafanya kwenye daftari.
Anaanza kuuliza yale maswali kulingana na mpangilio wa topic.
Usipojibu ni fimbo.
Kwa jinsi nilivyokuwa naogopa fimbo nilifanya kila kitu kama mwalimu alivyotaka..
Sikuwaga mzuri sana kwenye biology ila nilifaulu kwa kupenda na bila kupenda.
Mziki wao si unaujua lakinikwanini boss
uswazi ipi?πππ Vibe la uswazi huwa tamu sanaa.. hapa twavuta masaa tuchape tangawizi baadae ground
Walimu wana kazi si mchezowalimu kazi mnayo