Wawekeeni muda wa ziada kwa ajili ya kusolve past papers kwa somo moja kila siku hapo walimu inabidi mjitoe Sana
mfano mwalimu mwenye somo husika aingie darasani mapema asubuh kabla ya muda wa vipind kuanza atoe maswali wafanye wakusanye mchna waendelee na vipindi vya kawaida huku mwalimu nawe unapata muda wa kupitia kazi zao muda wa jioni baada ya vipindi unafnya masahihisho
Nafikiri hii itakuwa poa muhimu maswali yawe ya mitihani ya necta ya miaka iliyopita
Then mwisho wa wiki walimu masomo wa darasa Hilo mnakaa pamoja mnafanya tathmini