Yani sayansi advance haitaki mbwembwe kabisa wakileta ujinga watatoka na zero!!!!!!
Unaishiwa hadi pozi nakwambia!!!Ukitoa test hapo unashangaaa hawa ndio "ndioooo" kweli...
balaaa.... kesi za Mapenzi ndio zimejaaa ... Mungu awasaidie tu!!Hao lazima wavune walichopanda nguvu nyingi wekezeni kwa vijana wa kidato cha tano tumia hiyo mbinu niliokuambia hapo juu utakuja nishukuru baadae Madam..
Ndio maana yake pia kufundisha kwa kufuata mtaala raha sana, yaani huwa naandaa notes zangu kwa mtindo wa maswali vijana labda wawe wazembe wanaojitambua huwa wanafanya vizuri kabisa
hahaaa!Nilisema Mimi boss ledi ni kichwa
Anafundia kemia fom siks
Ni somo gani wameanguka sana, jaribu kwa muda uliobaki wafanye mazoezi ya past papers mara nyingi NECTA ni wavivu wa kutunga maswali tena ukipata past papers za miaka ya 70,80 na 90 bila shaka watapata maswali baadhi humo.
Ndio mbinu ninayotumia kwa vijana wa sayansi.
π¬π¬π¬ Depal kaniambia kitu hapa itabidi utufanyie wepesiDaah umefanya maamuzi ya msingi sana, hata na mimi umeniokoa hapo kwa namna flaniπ
Vijana sio tatizo. Ila mifumo ya ndani ya shule husika ni tatizo. Wanafunzi wanafundishwa kukalili, walimu hawana mbinu ( ikija mitihani ya ndani walimu wana copy na paste mahala ambapo wanafunzi wanapita kila siku na .. ukitaza mifumo ya mitihani ya ndani.. mtoto anabokoa vizuri mitihani ya ndani ( kwasababu anajua utungaji wa mwalimu na mahala ambapo mwalimu anachukua madesa) .. ukimpa mitihani ya nje.. chali. inakuwa shidaaNi somo gani wameanguka sana, jaribu kwa muda uliobaki wafanye mazoezi ya past papers mara nyingi NECTA ni wavivu wa kutunga maswali tena ukipata past papers za miaka ya 70,80 na 90 bila shaka watapata maswali baadhi humo.
Ndio mbinu ninayotumia kwa vijana wa sayansi.
atakuambia tu ππKitu gani hiko
Wacha nimfate chemba nimuulizeπatakuambia tu ππ
Hii kombinesheni ya
kwaresma + ramadan = ?
kwasie wazee wa msituni ni tabu tu
πππ washambuliaji hawana kaziHii kombinesheni ya
kwaresma + ramadan = ?
kwasie wazee wa msituni ni tabu tu
Wawekeeni muda wa ziada kwa ajili ya kusolve past papers kwa somo moja kila siku hapo walimu inabidi mjitoe SanaYani tabu tupu hawa watoto!! Mbayaaaaaa zaidi unawauliza mmeelewa ndiiiiiooooo areas that you more clarification noooooo!!!
kwenye mitihani sasa ngachoka!!