Selfika na JF: Snap it. Show it

Kisamvu sijawahi kujaribu kuweka kwa blender
Ah ninayeishi nae mtata hawezi kukubali kuweka kisamvu kwa blender
..huwa ananisaidia kutwanga .

Mlonge nilisaga kwenye mashine ndogo ile

Blender za Kenwood ni nzuri , multipurpose haswa .

Kama anakusaidia sawa haina neno


maana kutwanga nako mpaka kilainike mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…