Selfika na JF: Snap it. Show it

More confusion

 
Watu wako JF ndio hao wako the other side of the world...

Vile tu watu wako na fake identities wanatumia vibaya uhuru huo, overdoin stuff and often act completely insane...
sawa.Nilitaka kuaminisha watu tu kuwa kuna wadada wazuri na wenye maisha na kazi nzuri pia humu JF
na wala sio wachangiaji sana ila pesa na maisha yapo vizuri tu
 
Mzee mbona huo mwandiko wa kike. Soma beyond content ya uzi wake,Mimi ni mpenzi mtazamaji nimeona fekero moja hadi sasa na ilipita kimya
 
 
Kwani wewe ni me au ke...hehehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…