Hahahaaaa na network ikipotea hamna kitu ya maana unaweza fanyaπππ atmosphere inapelekea dk 1 kupoteza pambano.. asikia ile sound ya mashabiki network inakataaa anaona liwalo na liwe..
hahahaha.wamefuata wadhungu.ila cha ajabu jana nimewakuta wengi sana kutoka dar hapa nilipo.. hadi nikashangaaa ni wilayani kuna project ya wazungu.. nao wamezagaaa kila kona au sijui ilikuwa vunja jungu
πππ amna jamanaah! RC wa kisasa wewe.. mie mbona bi mdashi kafunga.. huwa hasimami hata siku moja aisee... πππ usije kuwa unafunga ki michongo asee
πππ pambano linakuwa ni KO.. visingizio vinaanzaHahahaaaa na network ikipotea hamna kitu ya maana unaweza fanya
Hahahaaa balaaπππ pambano linakuwa ni KO.. visingizio vinaanza
Uzuri kufunga sio lazima kuacha kula.. kufa ni kupana sanaπππ amna jaman
Ila hiyo ipo kwenye sheria za kanisa na ndio maana j2 hazihesabiwi katika zile siku 40.
Ila mtu anaweza funga kwa maombi yake binafsi, nadhan inaruhusiwa
So leo ni kula kujigalagazaaππ
ila ujue wewe ndio sababu mtu kupoteza pambano ππHahahaaa balaa
Yes muhimu kutenda yaliyo mema, kusali na kutoa sadaka + kusaidia wahitaji.Uzuri kufunga sio lazima kuacha kula.. kufa ni kupana sana
mala aah.. akili haipo sawa.. mala uchovu πππHahahaaa balaa
Hahahaaa em niacheeeeeπila ujue wewe ndio sababu mtu kupoteza pambano ππ
Kufunga ni kutoa, unaweza amua sehemu ya budget yako ya kula ukaitoa nayo ni funga pia, unaweza ukaamua usile aina fulani ya chakula nayo ni funga.. unafunga vitu ambavyo vina addiction.. mwingine anaweza funga TV.. but ukiweza funga kula it means unaweza kuji control na kuweza ku control mengineYes muhimu kutenda yaliyo mema, kusali na kutoa sadaka + kusaidia wahitaji.
Msosi ni kama njia ya kujinyima tu
ππππ mchezaji kaingia dk ya 0.20 kapoteza pambano.. anatolewa nje kwenye machelaHahahaaa em niacheeeeeπ
ExactlyππKufunga ni kutoa, unaweza amua sehemu ya budget yako ya kula ukaitoa nayo ni funga pia, unaweza ukaamua usile aina fulani ya chakula nayo ni funga.. unafunga vitu ambavyo vina addiction.. mwingine anaweza funga TV.. but ukiweza funga kula it means unaweza kuji control na kuweza ku control mengine
Unaonekana Mtamu sana, kwa hizo lips hatari.
Ahahahahaa nikipata chang'aa zinavimba...
Ila nikiwa arostooo....
Zinakuwa hiviii.....
View attachment 2173774
πππ bi Kidude...
Ushafuta [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Igholoooo.....[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Njaa[emoji1787][emoji848]Wee wa kishua kwioo[emoji849][emoji849]! mie kapuku njaa kali tu!!!