Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
[emoji1787]Nilikaa kidada
[emoji1787]Nilikaa kidada
Hivi kumbe ni muhibu, mi najuaga muhimu[emoji28]Njiwa peleka salamu
Kwa yule wangu muhibu
Njiwa peleka salamu
Kwa yule wangu muhibu
Umweleze afamu
Kwamba ninapata taabu
Umweleze afamu
Kwamba ninapata taabu
Hali yangu mahabubu
Oooh maradhi yameniswibu
Hali yangu mahabubu
Oooh maradhi yameniswibu
Ewe njiwa, ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa yule, kwa yule (Wangu muhibu)
Ewe njiwa, ewe njiwa (Peleka salamu)
Kwa yule, kwa yule (Wangu muhibu)
Sio show ya wasafi hiiKwa kweli.
Ammy Gal amevaa vizuri, very decent
Yule wa murogoroItapigwa Qaswida Kali sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakupa kadi Ninge..utamuona Bwana harusi mbele ya safari.
Ooh nilimuona na pajama zake aisee. Leo katembea na codes vizuriSio show ya wasafi hii
Inabidi avae kiheshima .
Mweh niliangalia FOA premier ,yule mdada alivaa pajama kuhost show .
Show ya leo inaonyesha matumainiKweli tunatofautiana
Mimi kipindi hakijanivutia nimeenda zangu kulala[emoji19]
Mambo ya kiduniaKweli tunatofautiana
Mimi kipindi hakijanivutia nimeenda zangu kulala[emoji19]
Hahahaha nimecheka AnneNa ole wake achepuke huyo njiwa
Si useme tuHahahaha nimecheka Anne
Wimbo tu huu nimeupenda
Hahaha wimbo hauendani kabisa na mimi kutoenda church leo [emoji23][emoji23] .Ndio maana
Hujaenda kanisani
[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]Mambo ya kidunia
Waachie wenyewe
(in mlebanon voice)
[emoji1787][emoji1787]
Sina la kusema rafiki [emoji23]Si useme tu
[emoji1787]
ZamaniHahaha wimbo hauendani kabisa na mimi kutoenda church leo [emoji23][emoji23] .
Nyimbo za zamani ni nzuri tu ..nimeupenda huo .
Kumbe ni DJ Fetty huyu bana, sio Ammy gal. Nimeanza kuzeeka aiseeSio show ya wasafi hii
Inabidi avae kiheshima .
Mweh niliangalia FOA premier ,yule mdada alivaa pajama kuhost show .
Aisee watu wanayawezaOoh nilimuona na pajama zake aisee. Leo katembea na codes vizuri
[emoji849]Zamani
Ulikuwepo[emoji1787][emoji848]
Kumbe jinsia yenuAisee watu wanayaweza
Huyu ni fetty anaye host leo ?
Nampenda huyu mdada
Kha mwenyewe sikumjua mwanzo ..Kumbe ni DJ Fetty huyu bana, sio Ammy gal. Nimeanza kuzeeka aisee
Sauti zao nzito, zimenimix
Nimeona naforce mamboMambo ya kidunia
Waachie wenyewe
(in mlebanon voice)
[emoji1787][emoji1787]
YeahKumbe jinsia yenu
Mnapendana[emoji848]