Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

As usual....10.45 huku herself...lastly Mahondaw [emoji7][emoji7]
Kwenye kikao ntasambaza sodaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji23] hahaaa!! Mahondaw mshamba tu! Karibu asee walau tutapooza koo![emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23] hahaaa!! Mahondaw mshamba tu! Karibu asee walau tutapooza koo![emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12]
Mimi pia mshamba tu 😂😂....so tunahold siri by two washambaz ila makoo yatapoozwa tu....nakaribia natafuta malapa hapa kuna moja nalishona mida hii nivumilie nakuja😂😂😂
 
IMG_20220402_205749_210.jpg
 
Mimi pia mshamba tu [emoji23][emoji23]....so tunahold siri by two washambaz ila makoo yatapoozwa tu....nakaribia natafuta malapa hapa kuna moja nalishona mida hii nivumilie nakuja[emoji23][emoji23][emoji23]
Wahi aisee! Tunakusubiri hapaa[emoji144]
 
Original Comedy!
Wakongwe Kazini [emoji3577]View attachment 2173338Hivi Joti mbona hayuko nao sasahivi wajameni walitofautiana wapi kwani?? Yani hili kundi ni masanja na joti tu Wengine hamna hamna kitu kabisa.ila saivi Joti hayupo sijui kwanini!
Sina uhakika; ila nahisi Joti ana mikataba yake binafsi inayombana kuungana na wenzie kwa sasa.

Leo wamenikumbusha siku ya kwanza nakanyaga Nzega; nikahitaji kwenda mjini. Daah naambiwa twende ukapande "ganagana". Nashangaa kitu baiskeli kimefika, nikapanda huyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nimecheka sana!!! hawa wawili wana uniqueness zao fulani hivi zinanogesha sana!! Dah kumbe katika hili kundi walikua wananikosha sana na masanja!
Sina uhakika; ila nahisi Joti ana mikataba yake binafsi inayombana kuungana na wenzie kwa sasa.

Leo wamenikumbusha siku ya kwanza nakanyaga Nzega; nikahitaji kwenda mjini. Daah naambiwa twende ukapande "ganagana". Nashangaa kitu baiskeli kimefika, nikapanda huyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika; ila nahisi Joti ana mikataba yake binafsi inayombana kuungana na wenzie kwa sasa.

Leo wamenikumbusha siku ya kwanza nakanyaga Nzega; nikahitaji kwenda mjini. Daah naambiwa twende ukapande "ganagana". Nashangaa kitu baiskeli kimefika, nikapanda huyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikaaje [emoji1787]
 
Back
Top Bottom