Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ndio vitu gani??
Tv nikiangalia huwa naangalia taarifa ya habari tu na Upendo Tv[emoji23]
Reality TV shows wanaonyesha maisha halisi ya mastaa kwenye runinga kama keeping up with the Kardashians , the real wives of Durban , na hii inayo sasa trend Young , famous and African .

Tamthilia hupendi pia itakuwa ?
 
Back
Top Bottom