Selfika na JF: Snap it. Show it

We omba tu mama, mi mwenyewe najisikia burudaniii nikikuta picha za wadada kuliko za wakaka. Hebu wadada msiniangushe, dondosheni mapicha picha sasa
 
Mungu wangu sumu zote zimeshapita kwenye koo langu na kutua kwenye mabandama, finyango na maini bila kusahau figo
Huruma Zaidi ni koo na kifanyio kwakuwa hizo ndio inlet na exit sumu zilipita
Saint Anna
Altar Wine
Robertson
Dompo
Konyagi
K Vant
Budweiser
Serengeti Lite
Safari
Balimi
Windhoek
Heineken
Smirnoff
Castle Lite
Amarula
Zanzi
Savanna
Tequila
Amstel
Valeur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…