Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
Utajua hujuiweeeeee 🐒🐒🐒
Utajua hujuiweeeeee 🐒🐒🐒
Hii statement ya kibabe sana, mtu hawez jiuliza mara 2 wapi unatokea😂😂😂Kwani yeye ni nani?! 🤣🤣
Mbingu ipi?Daah sawa, ila napendaga tu we sio mnafiki, kwenye hilo mbingu yako tayari😛
Ni ya wapi eti? 🤣Hii statement ya kibabe sana, mtu hawez jiuliza mara 2 wapi unatokea😂😂😂
Watu wake wanapatikana mikoa miwili tu Tz nzimaNi ya wapi eti? 🤣
kwendraaa zakooo 😀😀😀.. humfikii Nuzulati wangu hata kiduchu kwanza..Utajua hujui
😃😃😃😃 Tanga na Tabora auWatu wake wanapatikana mikoa miwili tu Tz nzima
😂😂😂 Nuzulati ni decillion... hufiti humo kwendraaa zakoooNina vitu vyangu ambavyo hana 😋
Na hawezi vipata 🤣 na yeye ana vyake nisivyo navyo!!
That’s life mtoto mdogo 😝
Tanga walivyokua na sauti na maneno mazuri vile!😃😃😃😃 Tanga na Tabora au
😬😂😂weeee... nani kakuongopea 😀😀😀 unataka vita
Sauti ninayo bana 🤣🤣Tanga walivyokua na sauti na maneno mazuri vile!
Kanda maalum na Chuga hyo, sasa jiposition mwenyew hapo
Hahahaa kubembeleza waachie watangaSauti ninayo bana 🤣🤣
Labda uniambie maneno mazuri na kubembeleza ndiyo kitu sijuagi 🤣🤣🤣🤣
Konda shusha kona ya Machame😎
🐒🐒🐒🐒🐒🐒Sasa sad reaction za nini?
Unataka kulia? Mkubwa hivyoo
😂😂😂😂😂😂 kwahiyo hatujifunzi?Hahahaa kubembeleza waachie watanga
Huku kwingine ugumu ugumu