Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Nimeachwaaa shemeji 😒Asante Sana shemeji [emoji120]
Nimeachwaaa shemeji 😒Asante Sana shemeji [emoji120]
😀😀😀😀 huamini tu.. au nikuoneshe vichanga vyangu[emoji138][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ila we ni kichomi sana
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Ngoja kwanza aoe[emoji1787][emoji1787]Baba Joy anongeze wafike 5 joy na jayden na ndugu zao
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nani kakuacha Nuzulati uhai wangu..Nimeachwaaa shemeji 😒
Tuko navijana kibao kwa sasa, tunaendelea kuwapika na tumekuwa wasimamizi washauri japo umri wetu bado mdogo ila uzoefu tunao kidogo.Na ujuzi wako kichwani.. inabidi uhamishie kwa juniors
[emoji102]Kodo kodo View attachment 2170527
Heeee [emoji15][emoji15] nini Tena shidaNimeachwaaa shemeji [emoji19]
Asante Sana heavensent [emoji120]Happiest birthday baba Joy. Uzidi kufanikiwa na kubarikiwa
weeee... nani kakuongopea 😀😀😀 unataka vitaSi useme ukweli kwamba umeniacha jamii ijue kwamba jimbo liko wazi😬😂
Najua shem hata sababu aijulikani nimeachwa bila sababu☹️Heeee [emoji15][emoji15] nini Tena shida
Mwakani tuanze zoezi basi nataka wapili mieBaba Joy anongeze wafike 5 joy na jayden na ndugu zao
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Lazma kuna sababu Ngoja nifuatilie shida ipo wapiNajua shem hata sababu aijulikani nimeachwa bila sababu[emoji3525]
We jamaa kwanini umemuacha@nazulat[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huamini tu.. au nikuoneshe vichanga vyangu
Nuzulati mpenzi mambo ya chumbani haya.. hakuna kuachana..Najua shem hata sababu aijulikani nimeachwa bila sababu☹️
Ananijaribu.. alafu hajui kuwa sijaribiwi 😎😎We jamaa kwanini umemuacha@nazulat
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Amiyn akiia wafike 7Ngoja kwanza aoe[emoji1787][emoji1787]
Naamini ila sio Putin[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] huamini tu.. au nikuoneshe vichanga vyangu
Putin kwani lina shida gani reymage 😁😁😁
Amekujaribu nini mzeeAnanijaribu.. alafu hajui kuwa sijaribiwi [emoji41][emoji41]