reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Waso na Na dini na wasiokua na imani na Mungu ila sisi tuliolelewa ktk dini tunaambiwa hvyo kwa mujibu wa imani yangu mwanaume ni kiongozi wa mwanamke na sinaga ujasiri wa kupingaga maandiko aseehh!!!Kuna wanawake wanapinga hili inapelekea familia kila mtu Ni msemaji
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app