Kuna watu sio wastaarabu kabisa, wameweka pesa mbele kama tai.Wanataka kutulisha haram hawa watu na mwenzi wa toba unaokuja😬kwa kweli bora dear aniletee mafuta ya Samli
Ujawai tumia kabisa samli? huwezi yashindwa ni mafuta yanatengezwa na wasukuma huko kwenye mang'ombe ya kutosha.. bei zina vary mala ya mwisho nakumbuka nilichukua kama elfu 20.. mazuri sanaHarufu yake ikoje?
Na bei yake, maana saiv tunapoelekea tutakula chukuchuku na mandaz ya kuoka ila si ndio healthy jaman😂
Nadhani shukrani inafaa zaidi,shukrani kipenzikwa wewe nakulete buree kabisa mpenzi.. next week naenda kuanzia ijumaa.. serious sio utani kama unayapensa na huwa unayatumia nitakuchukulia..
huwa nachukulia chato.. na hata ukiwa unaenda kahama.. hapa ukiivuka tinde.. mbele mbele kuna kijiji pale wanauza sana haya mafutaWapi huko kipenzi wa mimi
😀😀😀 hatari sana.. afya muhimu zingatieni hilo..Wanataka kutulisha haram hawa watu na mwenzi wa toba unaokuja😬kwa kweli bora dear aniletee mafuta ya Samli
Jamani watatuuwa na cancer hawa watu 😬😬Kuna watu sio wastaarabu kabisa, wameweka pesa mbele kama tai.
Kuna haya mafuta ya mgando kama Kimbo nk, nayo ni option nzuri kwa sasa tena unatumia muda mrefu sema kwenye kukaanga chips/mandaz ndio hayafai
Sijawah hata, nimezoea alizeti.Ujawai tumia kabisa samli? huwezi yashindwa ni mafuta yanatengezwa na wasukuma huko kwenye mang'ombe ya kutosha.. bei zina vary mala ya mwisho nakumbuka nilichukua kama elfu 20.. mazuri sana
Pale stend mbezi nadhani wanatumia hayo niliwahi nunua chips radha tofauti pamoja na harufu ya chips😬😬😀😀😀 hatari sana.. afya muhimu zingatieni hilo..
Nalitoa wapi[emoji1787]Wewe huna tezi dume kwani?
Acha basi bosledi 🤗🤗kesho kote huko jamani 🙄🙄!!
Usijali babuUnitag basi ukiweka. Asante....
Mazuri sana yale mafuta Mama home yalikuwa ni mafuta yake ila kwa sasa nadhani aliyekuwa anamletea hapatikani karudi kwenye nazi.Sijawah hata, nimezoea alizeti.
Yeah hua nasikia yanatengenezwa kutokana na ng'ombe ila sikuwah kufatilia.
Kama ni mazuri basi yatakua mkombozi kwa kipindi hiki
Tembo hana [emoji1787]Taqo hata tembo analo
Vyakula vya stand tunakulaga tu.. ila behind the scenes ni nomaaa sana mpenzi 😀😀Pale stend mbezi nadhani wanatumia hayo niliwahi nunua chips radha tofauti pamoja na harufu ya chips😬😬
Basi mama yangu kipenzi nakuletea lita 20 zitatosha 😊😊😊😊Mazuri sana yale mafuta Mama home yalikuwa ni mafuta yake ila kwa sasa nadhani aliyekuwa anamletea hapatikani karudi kwenye nazi.
Hakika kipenziVyakula vya stand tunakulaga tu.. ila behind the scenes ni nomaaa sana mpenzi 😀😀
Ndio tupia leo banaAcha basi bosledi 🤗🤗
Strawbella shangazi shangazi ndio mida hii [emoji3][emoji3]
haya ni mnyanyaso sasa shangazi 😔😔😔Nipo nipoo nasubiri ugali ushuke[emoji2][emoji2]