Kweli umeongea kitu kikubwa na cha msingi sana, wema hua siku zote hauozi ukigundua hilo basi utaishi vizuri na watu.
Dharau, majivuno sio kabisa kwenye haya maisha ambayo hatujui kesho yetu itakuaje.
Wewe utakua uko charming ndio maana umeweza kufanya yote hayo, na ukimtendea mtu mema lazima tu utabarikiwa na namna yako.