Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukajikuta umefika kwa wasukuma.

Kuna watu yaan hamjuani mmekutana tu ila mnavibe had mnajishangaa as if mlijuana kitambo huko.
Napenda sana watu wa aina hyo, stress free.

Hapo safari hata ya Bukoba hauchoki unaenjoooy tu (In Aristotee's voiceπŸ˜‚)
 
Ukarimu muhimu sana kwenye maisha, huwezi jua utae mkrimu leo kesho kwako anaweza kuwa na nani.. sijawai kula kichwa kikawa pia bored kwenye safari.. kuna wengine huwa sichukui hata nauli zao.. kuna mmoja nilimchukua stand alikuwa na shida ya afya.. na hakuwa na hela.. sikuchukua nauli yake nikamuhudumia mwanzo hadi mwisho hakuamini yule mtu.. na alie akawa ka mzima.. maana nilivyomtazama pia niliona ni mtu mwenye msongo wa mawazo.. But leo ni msaada.. ndio maana mie kwenye maisha yangu cha kwanza ukarimu, amani.. siwezi chukiana na mtu au kuruhusu amani apotee.. leo waweza kuwa kitu kesho usiwe hivyo ila kama ulikuwa mkarimu utaishi na ndio maana road trip zangu huwa na enjoy hasa ninapo amua beba abiria
 
Kweli umeongea kitu kikubwa na cha msingi sana, wema hua siku zote hauozi ukigundua hilo basi utaishi vizuri na watu.
Dharau, majivuno sio kabisa kwenye haya maisha ambayo hatujui kesho yetu itakuaje.

Wewe utakua uko charming ndio maana umeweza kufanya yote hayo, na ukimtendea mtu mema lazima tu utabarikiwa na namna yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…