Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
Love you my inspiration roho yangu ππNakazia hapo kwa mjukuu ngoja nini nimuachie hili π
πππ napenda amani sana, nashangaa watu ambao hawapatina na ma ex. wao.. mtu ambae mmelea uchi pamoja anakujua in and out.. unakuja kuwa adui yake.. mie kwangu hiyo nimeshindwaa.. ex wangu wote ni kama ndugu zangu ingawa niliona kwa mfano huyu wa mwisho alikuwa hata kabisa ukaribu ila nili mset sana... hadi akakaa kwenye kanuni zanguu.. mtu anaviona vitako asubuhi na jioni alafu leo. mnakuwa maaadui hapana asee πππKma nafasi na uwezo wa kutoa huduma upo endelea, unaweza kuta huyo Mchepuko tayari umeshazaa nao wewe π
Ndio ndio πDeal agreed π―
Mwenyewe nimezipenda hizo zako Mpya, najua hata nikizitunza kwneye kibubu Mwaka Mzima bado zitakuwa Mpya Mpya ππ
Mkiwa watu mnaoelewana wote mna vibe basi mnaenjoy sana.Road trip huku mnakuala country mdogo mdogo.. ma story mnajitahidi mnakuwa na vitu vinavyo wapa vibe.. mnatafuta resort ambazo zipo porini kabisa ikiwezekana milimani.. kuna moja nilienda hivi majuzi kati ipo ulanga.. nili enjoy sanaa..
Uwindaji ni kweli wengi hawana idea nayo kutokana na nature yake
ππππcc@GrahamsOmba kwa babu atoe ruhusa
ππkwangu mimi akuna tukiachana vita ni vita Mulaπ¬πππ napenda amani sana, nashangaa watu ambao hawapatina na ma ex. wao.. mtu ambae mmelea uchi pamoja anakujua in and out.. unakuja kuwa adui yake.. mie kwangu hiyo nimeshindwaa.. ex wangu wote ni kama ndugu zangu ingawa niliona kwa mfano huyu wa mwisho alikuwa hata kabisa ukaribu ila nili mset sana... hadi akakaa kwenye kanuni zanguu.. mtu anaviona vitako asubuhi na jioni alafu leo. mnakuwa maaadui hapana asee πππ
Vibali vyake vipi ni swala la uelewa na ufatiliaji tu.. mkisha kuwa na road trip automatic huwa chemistry huja tu.. kuna siku sikuwa na hela ya kutosha natoka dsm naenda singida.. nikasema acha leo nile vichwa.. nimefika mbezi mwisho pale.. nikapaki gari yangu.. chap nikapata abiria wanne nikasema hawa wanatosha tukaanza safari mbona nilijikuta nimepeleka watu mwanza ππππ kwa namna ambavyo ilikuwa safari yenye furaha na ucheshiMkiwa watu mnaoelewana wote mna vibe basi mnaenjoy sana.
Na mazingira ya nje ya mji mazuri refreshment ya kutosha.
Ila kuwinda haihitaji kibali? Isije kua hiyo nayo inakwamisha
Heri hata tag yako imekataa π€£ππππcc@Grahams
haitakaa tuachane mbona.. maana hapa ndio mwendo wangu umeisha.. na ikitokea ujue mwisho wa dunia.. πππππkwangu mimi akuna tukiachana vita ni vita Mulaπ¬
Depal we shost yangu tumetoka mbali ujue, tukumbukane kwenye huo ufalmeππHahahaha............nimeridhia
Ndugu wanajukwaa, nikiwa na akili timamu pasipo kushikinizwa na yeyote, nimeamua kibubu changu Cha akiba anitunzie Mjukuu wangu Depal π€ͺπ€ͺπππππ
π¬πππAkipita ata like najuaπHeri hata tag yako imekataa π€£
ππOngea kwa nguvu kila mtu asikie
Hiyo kitu haijawah toa boko hata siku moja
WeeeHiyo kitu haijawah toa boko hata siku moja
Nakujaaaaa chapππββοΈπββοΈπββοΈ
Babuuπ¬πππAkipita ata like najuaπ