Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaa sana nimegundua ukiwa na roho ya kikatili yaani hata mtu akwambie vipi shida unakaza unaweza kutoboa kwenye maisha na pia kutokuwa na moyo wa kuamini hasa upande wa pesa nimejifunza.
 
Hahahaha.......muhimu ukifunga kurasa hutakiwi kurudi

Ila muhimu wasiwe wengi, labda mmoja au wawili. Ukiwa nao wengi hapo lazima uingilike, huyu anataka umjazie Kodi, yule mwingine anataka hela ya mafuta ya mwezi Mzima kwaajili ya gari lake n.kπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaa sana nimegundua ukiwa na roho ya kikatili yaani hata mtu akwambie vipi shida unakaza unaweza kutoboa kwenye maisha na pia kutokuwa na moyo wa kuamini hasa upande wa pesa nimejifunza.
😁😁 Pesa ina lugha yake na ina tabia zake
. na lazima ujifunze ujue weakness yako kwenye pesa na strength yako kwenye pesa
 
😁😁😁 kuna mmoja hadi leo nipo responsible kwenye kuanzia mafuta ya gari , services na bora ingekuwa IST.. gari ina 3.0L na huwa najishika moyo tu.. huwa napenda peace si unajua hawa mama zetu wana laana kali mno.. unaweza shangaa mambo haya endi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huwa najitahidi ku maintain peace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…