Usijali... usalama upo wa kutosha.. hakuna kitu kizuri na una enjoy kama kuweinda watu hawajui tu.. but ni bonge ya fun.. una enjoy hasaa.. nilianza kupenda kuwinda enzi za babu yangu alikuwa akinichukua tunaenda nyikani kuwinda
Hela ikiwa kwa mtu sio ya kutegemea kabisa.. labda uwe na strong circle bilan hivyo unadhalilika.. kuna nyakati nilikuwa nashida na 4 million tu.. mbona nilikosa.. ikabidi niuze gari kwa hasara kubwa ushauza gari kwa miliona saba 🤣🤣🤣🤣🤣 utatua kitu.. dah.. baada ya hapo nikajifunza jambo.. adui yangu wa kwanza mikopo