Aiseee moto wake ni mkali balaa, niliushuhudia siku moja aah fire wangechelewa kidogo tu wangekuta majivu mbona.πππ alafu wananishanga waingie na duche kwenye exam.. moto ni moto Lenie ..
tuma basi ya color.. ya kimini ππUtu uzima dawa
Ngozi ya mtumeπTulia hebu π
Kula ya jana View attachment 2169481
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. mmh! hapo mnashibaje asa
Nenepa tu mkuu.. nyama nyama muhimu.. [emoji3][emoji3][emoji3]..
Sentensi ya kwanzaNgozi ya mtumeπ
Hiyo min hainitoshi? Nisendie kwa BM chap tasavali, nimeielewa
ππππ naelewa naelewa.. mvua ya bila mawingu hiyoo mala nyingi simba huwa anakuwa anafanya yakeAiseee moto wake ni mkali balaa, niliushuhudia siku moja aah fire wangechelewa kidogo tu wangekuta majivu mbona.
Bahati nzuri mvua ikanyesha ghafla ndio ilikua pona yao.
Aaah.. mimi huyuu βΊοΈβΊοΈunanichuuza sio[emoji3]
Mkibakiza siku ingine nishtue.. chakula cha kuachiwa kinakuwaga kidogo kwasababu kinakuwa hakitoshi βΊοΈβΊοΈβΊοΈ sema tu msiwe mmekipa mate mateTumeshiba na tulitaka kuacha sema sio vizuri kutupa chakula[emoji3]
Hips nitaibana na 'solotep' itatoshea tuSentensi ya kwanza
Hujakoma tu dada!??? Na evidence zote zile π€£π€£π€£
Ile hips yako hapa haipiti shost
Wanasemaga eti simba anazaa, hivi ni kweli?ππππ naelewa naelewa.. mvua ya bila mawingu hiyoo mala nyingi simba huwa anakuwa anafanya yake
πππ hiyo itakuwa ilitokeaga kwaiyo waka ipasisha pie 3.14.. ila safi sana mvua za hivyo za kushtukiza lazima hata inayo kushukia unashtukaWanasemaga eti simba anazaa, hivi ni kweli?
Me naskiaga story tu za vijiweni, maana vijana nao hawako nyuma kwenye mambo ya uzushi
mkuu hii dedication kwa nani asee πAnanikanda huku mabegani
Ananishika na hapa.......πΌπΌ....
π΅π΅π΅.....
Kushtuka lazima, kwanza unajua sikuamini kilichotokea?πππ hiyo itakuwa ilitokeaga kwaiyo waka ipasisha pie 3.14.. ila safi sana mvua za hivyo za kushtukiza lazima hata inayo kushukia unashtuka
Unahitajika sana sana.. jamii bila wewe kuna upungufu.. mkubwa kuna kutokwa chozi la damu.. sema dah! acha nifunge kinywaa ππKushtuka lazima, kwanza unajua sikuamini kilichotokea?
Kila nikikumbuka ila siku natafakari mengi sana, naona bado jamii inanihitaji.
Aaah.. mimi huyuu [emoji3526][emoji3526]
Mkibakiza siku ingine nishtue.. chakula cha kuachiwa kinakuwaga kidogo kwasababu kinakuwa hakitoshi [emoji3526][emoji3526][emoji3526] sema tu msiwe mmekipa mate mate
Eeh acha tu usiseme mengi, naelewa unayopitia kama kijana tuna changamoto nyingi.Unahitajika sana sana.. jamii bila wewe kuna upungufu.. mkubwa kuna kutokwa chozi la damu.. sema dah! acha nifunge kinywaa ππ
wemye vitambi wana tuzo yao maalumum. kuna raha yake kitambi.. mfundishe mr namna ya kukichezea hutojutia.. utaomba kiongezeke zaidieeeeh mtu ukinenepa kitambi hakichezi mbaliiii