Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,470
- 95,995
mtura kwa dar unapata wapi? Najua arusha kila bar unaeza kuta wanauza mtura. Tamu sanaNzuri sana hiio... inakuwa nyama imechanganya flani hivi ukianza kula utatamani kila siku.. naipenda sana hiyo
Huku wanaita bomu......mtura kwa dar unapata wapi? Najua arusha kila bar unaeza kuta wanauza mtura. Tamu sana
oh poa.nitaenda hapo unaposema mkuuHuku wanaita bomu......
nenda 5N pembeni ya Mlimani City ulizia BOM...
nilikula kitambo lkn hop bado yapo bom aka mtura
Dar sifahamu, ila mkoani huku ipomtura kwa dar unapata wapi? Najua arusha kila bar unaeza kuta wanauza mtura. Tamu sana
Asante sana...NitatafutaGo for dr rashel serum
Ni moto fayaaaaa
Sabuni kawaida tu chukua pears ya box la njano.. ni oil control
Natoa ushauri wakati me mwenyewe ndio wale wale… mp sikutaki utaniharibu uso.
🤣🤣🤣🤣Ila Anne unaongea jamani 🤭🤭🤭😜😜!! Sipati picha mtu akiingia 18 zako!!Afadhali leo umekuwa na matumizi mazuri ya dimpozi
Weeee nivile tu napiga engo fulani!! ila kitambi ninacho kama choteTumbo gani?
Hilo la nyigu??
Au mimi sijaelewa?
..........
😀😀😀 na ki mvua cha leo hapa.. ni mwendo wa zoezi.. hakuna kuhamuka.. wala nini
mmh,sawaGood morning..wale wenzangu wa daslaam ya Dar vipi mlipo Bado yanyeshaa!!!...kiubaridi full rahaaa🤗🤗
View attachment 2168893
Dah..[emoji7] JF kuna pisi za hatari acha kabisaGood morning..wale wenzangu wa daslaam ya Dar vipi mlipo Bado yanyeshaa!!!...kiubaridi full rahaaa[emoji847][emoji847]
View attachment 2168893
Kama una weupe flani naamini hutojutia dr rashelAsante sana...Nitatafuta
A man on a mission,..😅
mission imefanikiwa 😀A man on a mission,..😅