Selfika na JF: Snap it. Show it

Una msukumiza vipi mtumishi kama hajaamua mwenyewe πŸ€”
my inspiration.. vile kadri unavyo niombe Dua kwa Mwenyezi Mungu, ndivyo amabyo Mungu anasikia sala zako na kunigusa moyo wangu.. najikuta na hofu sana kwa Mwenyezi Mungu.. automatic inakuja mie kwenye kukupenda zaidi na zaidi kukuheshimu zaidi na zaidi... hujagundua hilo 😊😊😊.. jamani siku zote hizo ulikuwa wapi
 
Kumbe shukrani kwa kunielewesha ngoja nianze leo maombi.
 
Kumbe shukrani kwa kunielewesha ngoja nianze leo maombi.
Ee! my inspiration ndio maana familia bora ni ile inayokuwa na mda wa kumuomba Mwenyezi Mungu kwa pamoja, zaidi ya mala tatu kwa siku.. huwa ni familia zenye amani na upendo.. maana milango ya kuingilia ibirisi hufungwa kwa dua zao kwa pamoja.. Mume anakuwa na hofu kwa Mungu, mke anakuwa na hofu kwa Mungu.. hakuna picha picha zitazo tokea hapo.. kabla Mume hajatoka mnafanya dua pamoja.. unafikiri huko kitaa atafanya utopolo.. ile dua ya asubuhi inakuwa inampa kumbuku kumbu 😎😎😎.. love you my inspiration najua hili utalifanyia kazi
 
Una msukumiza vipi mtumishi kama hajaamua mwenyewe πŸ€”
Ukimsukumiza Kwa Mungu basi Mungu atadeal naye.
Kuna namna tu ataenda kumgusa Kwa namna yoyote ile..
Roho Mtakatifu anajua mafumbo ya ndani ya mtu,,ambayo Mimi siyajui
Kwahiyo hiyo kazi Nampa Roho Mtakatifu akaguse nafsi ya huyo mume/mke..
Atagusa vipi??Hilo anajua Yeye.

Ndiyo maana HM anasema mwanamke aombe apate mume ambaye ni sahihi Kwa Mungu maana ni rahisi Mungu kumgusa Kwa kuwa Ushirika wake na Roho Mtakatifu upo imara kwahiyo Ataguswa tu.
 
Sasa tusiandikie mate..
Saa mbili na nusu wapambane hapa Kwa picha 😁
 
Sasa tusiandikie mate..
Saa mbili na nusu wapambane hapa Kwa picha 😁
Haiwezekani.. neema alizo mjalia my inspiration Nuzulati ni kwa ajiri yangu tu kuziona na juzifurahi.. my Nuzulati sio wajamii ni wanguu.. mtoto wa kike staha.. na kujistiri.. vile vitu wa kuviona ni mie tu.. ila jua tu akiposta watu wanavunjika miguu humu na net ita stuck.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…