Lakini kila mtu ana Uhuru wa kukomenti anavojisikia as long as havunji sheria wala kutukana mtu Japo najua kabisa Anne anatania tu nothing serious isikuumize kichwa!!Wengine tunataka ladha tofauti, usituzibie rizki mama!
Ulikuwa utani tu kwa Anne, nothing serious...naona umenishushia novel😂😂😂Lakini kila mtu ana Uhuru wa kukomenti anavojisikia as long as havunji sheria wala kutukana mtu Japo najua kabisa Anne anatania tu nothing serious isikuumize kichwa!!
Halafu wasiwasi wako tu mkuu sie wanawake wenyewe walaaa hatuna Habari wala hio inferiority complex mbona tunaselfika zetu kwaraha zetu! Usituharibie uzi na kuleta uchochezi mkuu!
Watu kibao wanasifiwa wengine shingo wengine lips wengine miguu ya bia wengine shepu wengine ndevu nyingi zimekaa vizuri wengine rangi hata wanaume pia kibao tunawasifia na haifanyi wengine tushindwe kuselfika kisa hatujasifiwa hapana. Binafsi naona Amani tele imetamalaki mahala hapa sema wachache tu ndio mtauvuruga uzi!
Muwe na mchana mwema!🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️
[emoji1787]Lakini kila mtu ana Uhuru wa kukomenti anavojisikia as long as havunji sheria wala kutukana mtu Japo najua kabisa Anne anatania tu nothing serious isikuumize kichwa!!
Halafu wasiwasi wako tu mkuu sie wanawake wenyewe walaaa hatuna Habari wala hio inferiority complex mbona tunaselfika zetu kwaraha zetu! Usituharibie uzi na kuleta uchochezi mkuu!
Binafsi naona kila anaepost humu huwa anasifiwa in one way or another... Watu kibao wanasifiwa wengine shingo wengine lips wengine miguu ya bia wengine shepu wengine ndevu nyingi zimekaa vizuri wengine rangi hata wanaume pia kibao tunawasifia na haifanyi wengine tushindwe kuselfika kisa hatujasifiwa hapana. Binafsi naona Amani tele imetamalaki mahala hapa sema wachache tu ndio mtauvuruga uzi!
#Freedomofexpression#
Muwe na mchana mwema![emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Bosi Lediiiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji173][emoji173][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]! Haya selfie ziendelee.......!!View attachment 2168131
Si unaona sasa[emoji23][emoji23] mambo mazuri haya!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji8][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]! Haya selfie ziendelee.......!!View attachment 2168131
🤸🤸🤸😘😘😘😘😘 Msukumaaaaa nakuona nakuona!!😜Bosi Lediiiiiiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji173][emoji173][emoji8][emoji8]
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂! Ndiwooooo Ndevu zimekaa mahala pake.....zinafaa sana kuchezewa chezewa na kusisimuaa😜😜😜😜😜!![emoji1787]
Sasa ndevu zimekujaje hapo
Nakutizama nasema
Mambo yako nakuachia mwenyewe
Si unaona sasa[emoji23][emoji23] mambo mazuri haya!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Ndiwooooo Ndevu zimekaa mahala pake.....zinafaa sana kuchezewa chezewa na kusisimuaa[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]!!
Achana na Uzuma huo, check nishavua viatu [emoji1787] Heaven sView attachment 2168101
Muvi nzuri sana ile.....!!Umeona movie yake?
Muvi nzuri sana ile.....!!
Mie kushona vitabu mvivu sana!! Hasa kikiwa na lot's of pages uwiii!!Sanaa,na kitabu pia nimesoma..
Muvi nzuri sana ile.....!!
[emoji120][emoji106]3 kavu[emoji119]
Vifungu inategemea na mwenyewe Roho wa Mungu anapomsukuma asimamie.
Mimi nampa hili;
Mathayo 19:27-29
"Ndipo Petro akajibu,akawaambia,Tazama,sisi tumeacha vyote tukakufuata;tutapata nini basi?
Yesu akawaambia,Amin,nawaambia ya kwamba ninyi mlionifuata mimi,katika ulimwengu mpya,atakapoketi Mwana wa Adamu katika kiti cha utukufu wake,ninyi nanyi mtaketi katika viti kumi na viwili mkiwahukumu kabila kumi na mbili za Israel.
Na kila mtu aliyeacha nyumba,au ndugu wa kiume au wa kike,au baba,au mama,au watoto,au mashamba,kwa ajili ya Jina langu atapokea mara mia na kuurithi uzima wa milele.
................
●Basi kwa ajili ya Bwana ameacha chakula kwa muda,atapokea majibu na Mungu atamtendea na kumzidishia katika mengi.
● Anafuata mwenendo na nyayo za Kristo katika utakatifu (utii) 1Petro 1:14-16,2:21-22
●Atapokea majibu kwa ushindi maana maombi ya kufunga kujitaabisha yana nguvu
Mathayo 17:21
●Kuomba kwake kwafaa sana
Yakobo 5:16-18
Mie kushona vitabu mvivu sana!! Hasa kikiwa na lot's of pages uwiii!!
Asee leo nimepitwa na selfie zako,nisubiri saa ngapi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] maana unavyotufanyia flat screen sio poa kabisaa[emoji23][emoji23]
Wee mbona una shepu nzuri tu mamy nahio rangi sasa....kama mzungu!!!!!