Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Hivi kumbe ni kawaida kwa sisi wanawake kusifiana hivi eh? Sasa mbona wengine tukifanya hivi tunachukuliwa tofauti eti au ndiyo kwa vileee......?
Asikusumbue kichwa nkamu; huyo ni Aristoteeee kwa Irene Uwoya🤣🤣Hivi kumbe ni kawaida kwa sisi wanawake kusifiana hivi eh? Sasa mbona wengine tukifanya hivi tunachukuliwa tofauti eti au ndiyo kwa vileee......?
Hahaa mie simo huko nkamu! Ila tungeandika hivyo wengine tusingeitwa chawa bali tungeitwaaa......!Asikusumbue kichwa nkamu; huyo ni Aristoteeee kwa Irene Uwoya
Kwamba ingekuwa wewe usingeeleweka?Hahaa mie simo huko nkamu! Ila tungeandika hivyo wengine tusingeitwa chawa bali tungeitwaaa......!
Kazi kweli kweli
Anyway isiwe mada hii ndiyo jf asee nimejifunza kitu
TunainjoiiiiiiAsikusumbue kichwa nkamu; huyo ni Aristoteeee kwa Irene Uwoya
Mzee wa kikaooooooooTunainjoiiiiii
AsanteOoh pole
Inauma hii
Hahaa mimi sina shida na upambe wake! Shida yangu iko kwa binadamu wanaoona kwamba kuna mtu akifanya kitu fulani anakosea ila mwingine akifanya kitu hiko hiko haina shida!Kwamba ingekuwa wewe usingeeleweka?
Anne ni mpambe mwaminifu wa boss lady
Ooh nimekuelewa nkamu. Binadamu ndivyo tulivyo, tuzoee tuHahaa mimi sina shida na upambe wake! Shida yangu iko kwa binadamu wanaoona kwamba kuna mtu akifanya kitu fulani anakosea ila mwingine akifanya kitu hiko hiko haina shida!
Hii kitu nimeiona sana humu jf! Na siyo kwenye hili suala tu!
Pole wifi akeAsante
Roho imeniuma basi tu sina namna
Ngosha, umeongea na kinyumbani, sielewi mzee.Picha zingine hazionekani namhala...
Ūtalī gayanda gado