Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
😀😀😀 watu wanakufa na ID zinakufaaa.. nirudi na ID yangu ya miaka ile ya 2009... kwenye jukwaa langu la kuleee.. sema ntakumiss na pale hutaki kuja kuchukua mambo yako..Kwa nini tena boss?
😀😀😀 watu wanakufa na ID zinakufaaa.. nirudi na ID yangu ya miaka ile ya 2009... kwenye jukwaa langu la kuleee.. sema ntakumiss na pale hutaki kuja kuchukua mambo yako..Kwa nini tena boss?
Oh Asante nitatafuta.
Nilikomaa na Vaseline yangu hadi akili ikanikaa sawa..jipu zinauma aisee
Baadaye nikatafuta haya hapa.View attachment 2167391
Nimeona mafuta ya Vaseline nimeshtuka nikasema bahari gani tena huyu anachafua hali ya hewa.. kumbe wewe![]()


Wapi tena boss; mbona unaninyasanyasa😀😀😀 watu wanakufa na ID zinakufaaa.. nirudi na ID yangu ya miaka ile ya 2009... kwenye jukwaa langu la kuleee.. sema ntakumiss na pale hutaki kuja kuchukua mambo yako..
Kwa nini 😁😁 em nikuone basi@KENZY
Akisoma hii
Patawaka![]()
Utaambiwa nilikuja nikamkuta first born wako yule kijana 🤣🤣🤣Hata nifutuke vipi sidhani kama ntapata mtu ambaye ataitwa mwanangu
Labda abongeke kama blaza big
Ntalia na kusaga menoUtaambiwa nilikuja nikamkuta first born wako yule kijana![]()


mie nakunyanyasa au ni wewe 😏😏😏Wapi tena boss; mbona unaninyasanyasa
Dah! aisee
Ya kupakaa
Mimi mwenyewe nilivyoona nikajua hapa tunapigwa kamba.
Tuanze diet za kunenepa
Shepu tayari zipo![]()




@9.8ms squared Soma hioooo unaona pishi Hilo mdogo wangu hapa umepata mtu usiniangushe tafadhali tafadhali 9.8ms squared
😀😀😀 leo napitia madesa yangu.. najiandaa kurudi class kumwaga pindi9.8ms squared Sasa nimetulia nimesoma zile nondo..naahidi kurudi kundini rasmi
Mambo mazuri mazuri.. 😋😋
Ni wewe of coursemie nakunyanyasa au ni wewe 😏😏😏
Ewaa
Hapo tu ndo nakupendaga nkamu
Napenda the way unajipenda mwili wako..nakuchukuliaga kama mfano .
Msaafi
